Je, kansa ya koo inatibika? Nipo njia panda

unamaanisha hizi tiba za kisuna?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nilichomaanisha mkuu iwe hizo za kisunna au kuna watu wanajua tiba za asili na mtu anapona au kupata nafuu kubwa sana ila sikushauri utumie tiba za kemikali sijawahi kuona matokeo mazuri zaidi ya wagonjwa kuzorota na mwisho kufa mapema tofauti na dawa hizi za asili kama uhai bado upo kwa mgonjwa ataendelea vzr kabisa,na usisite kila usikiapo dawa mpe mgonjwa mhm kupona.
 
Kapime hospital nyingine. Majibua yakirudi Kansa. Msidanganywe na watu kuhusu TIBA
 

Kimbi kabisa huko hopsitali, Historia inaonyesha walio jaribu kutibu kansa walikufa mapema kuliko waliokoma anayo kwa tiba zingine au kuiiacha tu, hasa kw azile kansa ambzo zishachelewa, unless labda iwe ni mapema sana mmeiwahi.
 
Kuna mtu nilishuhudia alipona kansa / saratani hii ya koo yupo mzima buheri na nilimshauri kuacha vyakula vya wanga, sukari na nyama, na uzuri alikuja kipindi akiwa hawezi kula kitu kizito zaidi ya kimiminika ndio maana alikubali masharti niliyompa. Kingine nilimwambia wazi uji wa mahindi huo ungemwongezea uvimbe nilimpa ushahidi wa vitabu kama youth instructor, ministry of healing na vyakula vya kutumia na dawa na hatimaye baada ya miezi mitatu na nusu koo likafunguka vizuri
 
ni tiba ipi alitumia,hospital au mitishamba.
 
Cancer yoyote ile haitibiki.
 
khamis kilo tupe mrejesho, vipi ulipata tiba na hali ya mzazi ikoje kwa sasa ?
 
Mkuu kuna feedback yoyote positive?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…