Ngoro Kante is exceptional player, talented one,and Matter of fact he has the experience of playing on his national team. Therefore I would like to ask you to stop comparing him with that Kid from Real Madrid and fact is he'll never benched Ngoro.Habari za mda huu wakuu.
Kwa kiwango anachokionyesha kiungo kijana fundi mkabaji wa Real Madrid Tchouame'an kilichomfanya Casemiro kukimbilia Manchester united.
Je nafasi ya Ng'olo kante Bado mnaiona France National team?
Kiufupi bwana mdogo anajua kukaba na anajua kuucheza mpira skilss and passes ni aina ya viungo wakabaji walio GIFTED sana je iko wapi nafasi ya mkata umeme kante?
Kama haujawahi muangalia Dogo akicheza better usi comments kwa kutumia mawazo thania (wishingfullthinking)View attachment 2362473
Umemuona dogo akicheza?Ngoro Kante is exceptional player, talented one,and Matter of fact he has the experience of playing on his national team. Therefore I would like to ask you to stop comparing him with that Kid from Real Madrid and fact is he'll never benched Ngoro.
Hajafikia sababu hajacheza mechi nyingi kama waoNgolo akiwa fit 100%, dunia hii yuko pekee yake. Hakuna kiungo wa kumlinganisha na Ngolo labda asiwe fit kiafya.
Huyo dogo hajafikia hata uwezo wa Joshua Kimich au Tiago Alucantara, hivyo usithubutu kamwe kumlinganisha na Kante mtu kazi.
Poa....Habari za mda huu wakuu.
Kwa kiwango anachokionyesha kiungo kijana fundi mkabaji wa Real Madrid Tchouame'an kilichomfanya Casemiro kukimbilia Manchester united.
Je nafasi ya Ng'olo kante Bado mnaiona France National team?
Kiufupi bwana mdogo anajua kukaba na anajua kuucheza mpira skilss and passes ni aina ya viungo wakabaji walio GIFTED sana je iko wapi nafasi ya mkata umeme kante?
Kama haujawahi muangalia Dogo akicheza better usi comments kwa kutumia mawazo thania (wishingfullthinking)View attachment 2362473
Tangu lini ulimuona Sergio Busquets akikata umeme?, huyo ni kiungo laini kama alivyo Jorginho, ni wazuri wakiwa na mpira pekee ila kupambana kupora mipira sio wazuri.Hajafikia sababu hajacheza mechi nyingi kama wao
Ila uyo kante mbona wanaomzidi wapo wengi tu Example Sergio Busquets
Utakuwa mpira umeanza kuangalia juzi yaani Busquests umlinganishe na jorghino acha u K*ma basi kama hujui mpira tuliaTangu lini ulimuona Sergio Busquets akikata umeme?, huyo ni kiungo laini kama alivyo Jorginho, ni wazuri wakiwa na mpira pekee ila kupambana kupora mipira sio wazuri.
Kizazi kilichopita wapo wazee wa kazi kama Michael Essien n.k ambao unaweza wapambanisha na Kante mtu kazi lakini sio hawa viungo wengineo tulio nao kwa sasa.
Ushaona kante akikutana na busquets anavyofanywa au una ropoka tuTangu lini ulimuona Sergio Busquets akikata umeme?, huyo ni kiungo laini kama alivyo Jorginho, ni wazuri wakiwa na mpira pekee ila kupambana kupora mipira sio wazuri.
Kizazi kilichopita wapo wazee wa kazi kama Michael Essien n.k ambao unaweza wapambanisha na Kante mtu kazi lakini sio hawa viungo wengineo tulio nao kwa sasa.
Kante na kina kasemiro anafanishwa na kinda? Hembu kuwa na adabuCasemiro ndiye alikuwa chaguo la kwanza sasa anamkimbiaje dogo?,Kafuata mshahara mnono United siyo huyo dogo.
Waafrika ndivyo tulivyo muzee......Tangu lini ulimuona Sergio Busquets akikata umeme?, huyo ni kiungo laini kama alivyo Jorginho, ni wazuri wakiwa na mpira pekee ila kupambana kupora mipira sio wazuri.
Kizazi kilichopita wapo wazee wa kazi kama Michael Essien n.k ambao unaweza wapambanisha na Kante mtu kazi lakini sio hawa viungo wengineo tulio nao kwa sasa.
Sawa brotherExperience matter than talent ile ni power house katika position ya midfielder kumbuka hata Martin oodegaard alicheza Madrid watu wakasema ni balon do'r mpya ila leo yuko arsenal kwa hyo dogo tumpe muda kwanza kante ni next level.