Je, Kante ajiandae na benchi French National team?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Habari za mda huu wakuu.

Kwa kiwango anachokionyesha kiungo kijana fundi mkabaji wa Real Madrid Tchouame'an kilichomfanya Casemiro kukimbilia Manchester united.

Je nafasi ya Ng'olo kante Bado mnaiona France National team?

Kiufupi bwana mdogo anajua kukaba na anajua kuucheza mpira skilss and passes ni aina ya viungo wakabaji walio GIFTED sana je iko wapi nafasi ya mkata umeme kante?

Kama haujawahi muangalia Dogo akicheza better usi comments kwa kutumia mawazo thania (wishingfullthinking)
images.jpg
 
Hata Paul Pogba naye ana wakati mgumu wa kuwemo kwenye kikosi cha kwenda kutetea ubingwa wao mwishoni mwa mwaka huu.
 
Habari za mda huu wakuu.

Kwa kiwango anachokionyesha kiungo kijana fundi mkabaji wa Real Madrid Tchouame'an kilichomfanya Casemiro kukimbilia Manchester united.

Je nafasi ya Ng'olo kante Bado mnaiona France National team?

Kiufupi bwana mdogo anajua kukaba na anajua kuucheza mpira skilss and passes ni aina ya viungo wakabaji walio GIFTED sana je iko wapi nafasi ya mkata umeme kante?

Kama haujawahi muangalia Dogo akicheza better usi comments kwa kutumia mawazo thania (wishingfullthinking)View attachment 2362473
Ngoro Kante is exceptional player, talented one,and Matter of fact he has the experience of playing on his national team. Therefore I would like to ask you to stop comparing him with that Kid from Real Madrid and fact is he'll never benched Ngoro.
 
Umemuona dogo akicheza?
 
Ngolo akiwa fit 100%, dunia hii yuko pekee yake. Hakuna kiungo wa kumlinganisha na Ngolo labda asiwe fit kiafya.
Huyo dogo hajafikia hata uwezo wa Joshua Kimich au Tiago Alucantara, hivyo usithubutu kamwe kumlinganisha na Kante mtu kazi.
 
Hajafikia sababu hajacheza mechi nyingi kama wao

Ila uyo kante mbona wanaomzidi wapo wengi tu Example Sergio Busquets
 
Habari za mda huu wakuu.

Kwa kiwango anachokionyesha kiungo kijana fundi mkabaji wa Real Madrid Tchouame'an kilichomfanya Casemiro kukimbilia Manchester united.

Je nafasi ya Ng'olo kante Bado mnaiona France National team?

Kiufupi bwana mdogo anajua kukaba na anajua kuucheza mpira skilss and passes ni aina ya viungo wakabaji walio GIFTED sana je iko wapi nafasi ya mkata umeme kante?

Kama haujawahi muangalia Dogo akicheza better usi comments kwa kutumia mawazo thania (wishingfullthinking)View attachment 2362473
Poa....
Ila kuna mtu pale France Squad bwana Olivier Giroud, piga ua ana namba, sijui shemeji yake Didier Deschamps..*****.
 
Hajafikia sababu hajacheza mechi nyingi kama wao

Ila uyo kante mbona wanaomzidi wapo wengi tu Example Sergio Busquets
Tangu lini ulimuona Sergio Busquets akikata umeme?, huyo ni kiungo laini kama alivyo Jorginho, ni wazuri wakiwa na mpira pekee ila kupambana kupora mipira sio wazuri.
Kizazi kilichopita wapo wazee wa kazi kama Michael Essien n.k ambao unaweza wapambanisha na Kante mtu kazi lakini sio hawa viungo wengineo tulio nao kwa sasa.
 
Utakuwa mpira umeanza kuangalia juzi yaani Busquests umlinganishe na jorghino acha u K*ma basi kama hujui mpira tulia
 
Tangu lini ulimuona Sergio Busquets akikata umeme?, huyo ni kiungo laini kama alivyo Jorginho, ni wazuri wakiwa na mpira pekee ila kupambana kupora mipira sio wazuri.
Kizazi kilichopita wapo wazee wa kazi kama Michael Essien n.k ambao unaweza wapambanisha na Kante mtu kazi lakini sio hawa viungo wengineo tulio nao kwa sasa.
Ushaona kante akikutana na busquets anavyofanywa au una ropoka tu
 
Experience matter than talent ile ni power house katika position ya midfielder kumbuka hata Martin oodegaard alicheza Madrid watu wakasema ni balon do'r mpya ila leo yuko arsenal kwa hyo dogo tumpe muda kwanza kante ni next level.
 
Casemiro ndiye alikuwa chaguo la kwanza sasa anamkimbiaje dogo?,Kafuata mshahara mnono United siyo huyo dogo.
 
Tangu lini ulimuona Sergio Busquets akikata umeme?, huyo ni kiungo laini kama alivyo Jorginho, ni wazuri wakiwa na mpira pekee ila kupambana kupora mipira sio wazuri.
Kizazi kilichopita wapo wazee wa kazi kama Michael Essien n.k ambao unaweza wapambanisha na Kante mtu kazi lakini sio hawa viungo wengineo tulio nao kwa sasa.
Waafrika ndivyo tulivyo muzee......
 
Experience matter than talent ile ni power house katika position ya midfielder kumbuka hata Martin oodegaard alicheza Madrid watu wakasema ni balon do'r mpya ila leo yuko arsenal kwa hyo dogo tumpe muda kwanza kante ni next level.
Sawa brother
 
Back
Top Bottom