Je, karakana ndogo ya kuzalisha ‘transformer’ ndogo za umeme inaweza kuhutaji mtaji wa kiasi gani?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Mfano karakana ya kawaida tu kama hiyo iliyopo kwenye video hapo, naweza kuikamilisha na ikaanza uzalishaji kwa milioni 50? Na je, wataalam kutoka VETA wapo nioweza kuwajiri na wakafanya huu uzalishaji? Na je, kuhusu soko, Tanesco bado wana sera ya kununua bidhaa za ndani kwanza kabla ya vya nje au wananunua tu kwa kutangaza tenda?

====================
Ila Tanesco miwe na aibu muda mwingine, tutaanza kuweka adhabu ya kunyonga sasa

Mfano karakana ya kawaida tu kama hiyo iliyopo kwenye video hapo, naweza kuikamilisha na ikaanza uzalishaji kwa milioni 50? Na je, wataalam kutoka VETA wapo nioweza kuwajiri na wakafanya huu uzalishaji? Na je, kuhusu soko, Tanesco bado wana sera ya kununua bidhaa za ndani kwanza kabla ya vya nje au wananunua tu kwa kutangaza tenda?

Andaa mpunga wa kuchukua mafundi wa Tanalec au Tropical ndio game linavyo enda.. hadi utapo. Tropical ana mtoto wake mmoja aliesoma hayo kwao india akapitia na madundi baadhi ya tanalec kwa kuwapa donge nene..
 
Hivi kwani Tanalec bado inafanya kazi? Sasa mbona Transformer zote zinatoka India?
 
Sijui, ila miradi ya ndani ( REA ) , TF lazima ziwe local ( zizalishwe ndani ), ndio maana hata honley wana assembel TF hapa ndani zinazotumika na miradi kama ya REA ila kwa mirado binafsi wanatpa china.. Tanelec moja ya wazalishaji bora kabisa wa TF na bei zao zimechangamka
 
Daah, kwakweli TANESCO walazimishwe kisheria kununua Transformer zinazozalishwa nchini, pia wazalishaji waangalie mbinu za kupunguza gharama za uzalishaji ili bei ishuke. Nimewatafuta Youtube, kumbe wapo bhana

Daah, kwakweli TANESCO walazimishwe kisheria kumua Transformer zinazozalishwa nchini, pia wazalishaji waangalie mbinu za kuounguza gharama za uzalishaji ili nei ishuke. Nimewatafuta Youtube, kumbe wapo bhana

Wachina wana assemble tu madude mzee.. nilipata b.parter moja India niwe kama agent wao.. ila niliwatupa kiwanda chao ndio kwanza kina mwaka mmoja.. wa kuzalisha. Tanelec wanajitajihidi sana na Tropical ila Tropical majanga zinabutuka sana machine zao na ndio shida ya uzawa
 
Daah, waboreshe tu ubora, lakini vyovyote iwavyo, Tanesco walazimishwe kununua bidhaa za ndani, hasa nguzo za zege na transformer, pia Luku.

Mambo mazuri sana haya yanyofanywa na Tanelec

Daah, waboreshe tu ubora, lakini vyovyote iwavyo, Tanesco walazimishwe kununua bidhaa za ndani, hasa nguzo za zege na transformer, pia Luku
Nguzo za zege wadau wengi walita kuanza zalisha, ila Tanesco walizingua mambo ya asilimia na Derm.. nahisi wamefanya mrekebisho ( sina hakika ). TF tuna uwezo kabisa wa kuzalisha kikubwa ubora uzingatiwe mamlaka zinazo simamia zipewe meno ila tatizo rushwaaa.. kama kua assemble ma TF rahisi sana
 
Nimefarijika kuona kumbe Tanelec wanapewa support kubwa sana hasa kwenye REA, kumbe hii serikali muda mwingine wanakuwaga na akili kidogo..

Kutengeneza nguzo za zege hakuna utofauto wa kufyatua matofari au makaravati.
Mnaowataja wakina DERM wamepata fursa na kuchangamka.
Tatizo lazma wataalam muangalie je nguzo za umeme za nguzo ipi Bora,mashamba ya nguzo Mufindi yafungwe?Kama zege ni Bora mbona ulaya nguzo za mbao bado ni muhimu na ghari? Kuhusu Transformers Tanalec wanaongoza hawa Tropical au State Grid hazikidhi viwango vya kimataifa.
 
Back
Top Bottom