FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Andaa mpunga wa kuchukua mafundi wa Tanalec au Tropical ndio game linavyo enda.. hadi utapo. Tropical ana mtoto wake mmoja aliesoma hayo kwao india akapitia na madundi baadhi ya tanalec kwa kuwapa donge nene..Mfano karakana ya kawaida tu kama hiyo iliyopo kwenye video hapo, naweza kuikamilisha na ikaanza uzalishaji kwa milioni 50? Na je, wataalam kutoka VETA wapo nioweza kuwajiri na wakafanya huu uzalishaji? Na je, kuhusu soko, Tanesco bado wana sera ya kununua bidhaa za ndani kwanza kabla ya vya nje au wananunua tu kwa kutangaza tenda?
Hivi kwani Tanalec bado inafanya kazi? Sasa mbona Transformer zote zinatoka India?Andaa mpunga wa kuchukua mafundi wa Tanalec au Tropical ndio game linavyo enda.. hadi utapo. Tropical ana mtoto wake mmoja aliesoma hayo kwao india akapitia na madundi baadhi ya tanalec kwa kuwapa donge nene..
Sijui, ila miradi ya ndani ( REA ) , TF lazima ziwe local ( zizalishwe ndani ), ndio maana hata honley wana assembel TF hapa ndani zinazotumika na miradi kama ya REA ila kwa mirado binafsi wanatpa china.. Tanelec moja ya wazalishaji bora kabisa wa TF na bei zao zimechangamkaHivi kwani Tanalec bado inafanya kazi? Sasa mbona Transformer zote zinatoka India?
Daah, kwakweli TANESCO walazimishwe kisheria kununua Transformer zinazozalishwa nchini, pia wazalishaji waangalie mbinu za kupunguza gharama za uzalishaji ili bei ishuke. Nimewatafuta Youtube, kumbe wapo bhanaSijui, ila miradi ya ndani ( REA ) , TF lazima ziwe local ( zizalishwe ndani ), ndio maana hata honley wana assembel TF hapa ndani zinazotumika na miradi kama ya REA ila kwa mirado binafsi wanatpa china.. Tanelec moja ya wazalishaji bora kabisa wa TF na bei zao zimechangamka
Wachina wana assemble tu madude mzee.. nilipata b.parter moja India niwe kama agent wao.. ila niliwatupa kiwanda chao ndio kwanza kina mwaka mmoja.. wa kuzalisha. Tanelec wanajitajihidi sana na Tropical ila Tropical majanga zinabutuka sana machine zao na ndio shida ya uzawaDaah, kwakweli TANESCO walazimishwe kisheria kumua Transformer zinazozalishwa nchini, pia wazalishaji waangalie mbinu za kuounguza gharama za uzalishaji ili nei ishuke. Nimewatafuta Youtube, kumbe wapo bhana
Daah, waboreshe tu ubora, lakini vyovyote iwavyo, Tanesco walazimishwe kununua bidhaa za ndani, hasa nguzo za zege na transformer, pia Luku.Wachina wana assemble tu madude mzee.. nilipata b.parter moja India niwe kama agent wao.. ila niliwatupa kiwanda chao ndio kwanza kina mwaka mmoja.. wa kuzalisha. Tanelec wanajitajihidi sana na Tropical ila Tropical majanga zinabutuka sana machine zao na ndio shida ya uzawa
Nguzo za zege wadau wengi walita kuanza zalisha, ila Tanesco walizingua mambo ya asilimia na Derm.. nahisi wamefanya mrekebisho ( sina hakika ). TF tuna uwezo kabisa wa kuzalisha kikubwa ubora uzingatiwe mamlaka zinazo simamia zipewe meno ila tatizo rushwaaa.. kama kua assemble ma TF rahisi sanaDaah, waboreshe tu ubora, lakini vyovyote iwavyo, Tanesco walazimishwe kununua bidhaa za ndani, hasa nguzo za zege na transformer, pia Luku
Nimefarijika kuona kumbe Tanelec wanapewa support kubwa sana hasa kwenye REA, kumbe hii serikali muda mwingine wanakuwaga na akili kidogo..Nguzo za zege wadau wengi walita kuanza zalisha, ila Tanesco walizingua mambo ya asilimia na Derm.. nahisi wamefanya mrekebisho ( sina hakika ). TF tuna uwezo kabisa wa kuzalisha kikubwa ubora uzingatiwe mamlaka zinazo simamia zipewe meno ila tatizo rushwaaa.. kama kua assemble ma TF rahisi sana
Vyote ulivyotaja vyafanyika TanzaniaDaah, waboreshe tu ubora, lakini vyovyote iwavyo, Tanesco walazimishwe kununua bidhaa za ndani, hasa nguzo za zege na transformer, pia Luku.
Mambo mazuri sana haya yanyofanywa na Tanelec
Ila rushwa huko Tanesco inavunja moyo wazalishaji muda mwingine, ona mambo kama hayo sasaVyote ulivyotaja vyafanyika Tanzania
Kasoro Transformer za MVA kubwa
Daaah, tutabanana humu humuTANRLEC wanazalisha sana hizi so hutopata soko