Je, Kasesela ni Season Ticket Holder wa Golden State Warriors?

Je, Kasesela ni Season Ticket Holder wa Golden State Warriors?

No 277,000 ni Ndogo Jumlisha Bei ya Ndege Kwenda na Kurudi 3,600,000+ Gharama za Hoteli

Inakuja Kama 4,300,000 kuna mdau anasema NBA wanacheza hata Game 3 sasa chukua wamecheza Game 2 kwa Wiki Je hiyo pesa siyo Nyingi?
Nyingi kwako wewe ila kwa mtu kama Kasesela ni pesa ya kawaida hata mwalimu wa shule ya msingi akijichanga anaweza kwenda tatizo watu weusi tunajua mzungu ndie ana hatimiliki ya kusafiri tu tukisafiri sisi inakua matumizi mabaya ya pesa.
Mwache ale jasho lake kipindi anasoma we si ulikua unaangalia tv kwenu na kuwafanyia ukuwadi dada za watu komaa tu mkuu.
 
Siyo mbaya maana kasesela anapenda mchezo wa kikapu nakumbuka long time ktk viwanja vya tanesco pale drive in kila asubuhi alikuwa anaenda kupasha mazoezi.....
Sema tu jamaa ni misifaa camp

OvA
Mkuu Kuangalia Game Moja Si Tatizo, Tatizo ni Kwamba ana Ticket ya Season ambayo amelipia game 41 so Anatoka Tanzania kila wiki kwenda Kuangalia Game hizo hapo ndo utagundua Kua ni Cost kubwa
 
Siyo mbaya maana kasesela anapenda mchezo wa kikapu nakumbuka long time ktk viwanja vya tanesco pale drive in kila asubuhi alikuwa anaenda kupasha mazoezi.....
Sema tu jamaa ni misifaa camp

OvA
Hahahaha misifa camp!
 
Mkuu Kuangalia Game Moja Si Tatizo, Tatizo ni Kwamba ana Ticket ya Season ambayo amelipia game 41 so Anatoka Tanzania kila wiki kwenda Kuangalia Game hizo hapo ndo utagundua Kua ni Cost kubwa
Acha kupaniki za kuambiwa changanya na zako ,kusema ana ticket season unamuamini ?
Uliona slip aliyolipia hiyo ticket ?

Kasesela ni mdau wa kikapu na huko nyuma alishakuwa kiongozi wa kikapu(RBA) but sidhani kama msimu huu amehudhuria game hata moja ya GSW
 
  • Thanks
Reactions: aye
We jamaa unajipendekeza sana hadi unazingua.
 
Mkuu Kuangalia Game Moja Si Tatizo, Tatizo ni Kwamba ana Ticket ya Season ambayo amelipia game 41 so Anatoka Tanzania kila wiki kwenda Kuangalia Game hizo hapo ndo utagundua Kua ni Cost kubwa
Mbona swali la Lexus na Ford Ranger unali skip? Au unafanya maswali rahisi kwanza kuokoa muda alafu unamaliza na magumu?
 
Jamani mambo ya kawaida sana Hayo. Kipendacho roho. Mm mwaka juzi nilijichanga mwaka mzima ili niende VINOVO nikaangalie mechi ya Juve na Torino. Thanks God nilipata network na baadhi ya wadau raia wa Ghana wanaoishi italy wakanipa mualiko nikaenda hadi torino Mwaka jana.
 
Hiyo jezi haiwezi kuvaliwa nje ya marekani?! Au eneo alilopigia picha ni marekani?! Ngoja mange aamke atuambie kama mkuu alikuwa huko au vipi, na hata kama alienda poa tu kwa nafasi yake uchumi unaruhusu.
 
Ana maisha yake binafsi, uongozi sio ufungwa.
 
Afadhari wewe unanitoa Mashaka maana nauli ni kama 3,000,000+ Ticket ya Game + Gharama za Hotel inaweza kufika 4,000,000/Game watu wameshaanza Kusema eti pesa ndogo unamjua Kasesela wewe!
Masikini mna shida sana.
Yeye akimiliki season ticket inakupunguzia nini?
 
Hivi unamjua vizuri Kasesela na anapotokea au kwakuwa umemsikia akiwa mkuu wa wilaya? unajua back ground yake? hiyo mbona hela ndogo?
Sioni hoja ya msingi hapa....
Tunamjua huyo ni Mtoto wa Mama. Mpka sasa anaishi nyumba ya Urithi
 
Back
Top Bottom