haa mym
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 4,829
- 4,614
Nyingi kwako wewe ila kwa mtu kama Kasesela ni pesa ya kawaida hata mwalimu wa shule ya msingi akijichanga anaweza kwenda tatizo watu weusi tunajua mzungu ndie ana hatimiliki ya kusafiri tu tukisafiri sisi inakua matumizi mabaya ya pesa.No 277,000 ni Ndogo Jumlisha Bei ya Ndege Kwenda na Kurudi 3,600,000+ Gharama za Hoteli
Inakuja Kama 4,300,000 kuna mdau anasema NBA wanacheza hata Game 3 sasa chukua wamecheza Game 2 kwa Wiki Je hiyo pesa siyo Nyingi?
Mwache ale jasho lake kipindi anasoma we si ulikua unaangalia tv kwenu na kuwafanyia ukuwadi dada za watu komaa tu mkuu.