Nyingi kwako wewe ila kwa mtu kama Kasesela ni pesa ya kawaida hata mwalimu wa shule ya msingi akijichanga anaweza kwenda tatizo watu weusi tunajua mzungu ndie ana hatimiliki ya kusafiri tu tukisafiri sisi inakua matumizi mabaya ya pesa.No 277,000 ni Ndogo Jumlisha Bei ya Ndege Kwenda na Kurudi 3,600,000+ Gharama za Hoteli
Inakuja Kama 4,300,000 kuna mdau anasema NBA wanacheza hata Game 3 sasa chukua wamecheza Game 2 kwa Wiki Je hiyo pesa siyo Nyingi?
Mkuu Kuangalia Game Moja Si Tatizo, Tatizo ni Kwamba ana Ticket ya Season ambayo amelipia game 41 so Anatoka Tanzania kila wiki kwenda Kuangalia Game hizo hapo ndo utagundua Kua ni Cost kubwaSiyo mbaya maana kasesela anapenda mchezo wa kikapu nakumbuka long time ktk viwanja vya tanesco pale drive in kila asubuhi alikuwa anaenda kupasha mazoezi.....
Sema tu jamaa ni misifaa camp
OvA
Mkuu asante kwa kuitambua ipogolo kwenye ramani ya duniaFrom ipogoro to 1011 Broadway Oakland, CA, what a promo?
Asante kwa kumuonya! I hope hajapata mapepo ya misifa, maana yale hayalali mpaka yakumalize kabisa!
Hahahaha misifa camp!Siyo mbaya maana kasesela anapenda mchezo wa kikapu nakumbuka long time ktk viwanja vya tanesco pale drive in kila asubuhi alikuwa anaenda kupasha mazoezi.....
Sema tu jamaa ni misifaa camp
OvA
Acha kupaniki za kuambiwa changanya na zako ,kusema ana ticket season unamuamini ?Mkuu Kuangalia Game Moja Si Tatizo, Tatizo ni Kwamba ana Ticket ya Season ambayo amelipia game 41 so Anatoka Tanzania kila wiki kwenda Kuangalia Game hizo hapo ndo utagundua Kua ni Cost kubwa
Mbona swali la Lexus na Ford Ranger unali skip? Au unafanya maswali rahisi kwanza kuokoa muda alafu unamaliza na magumu?Mkuu Kuangalia Game Moja Si Tatizo, Tatizo ni Kwamba ana Ticket ya Season ambayo amelipia game 41 so Anatoka Tanzania kila wiki kwenda Kuangalia Game hizo hapo ndo utagundua Kua ni Cost kubwa
Masikini mna shida sana.Afadhari wewe unanitoa Mashaka maana nauli ni kama 3,000,000+ Ticket ya Game + Gharama za Hotel inaweza kufika 4,000,000/Game watu wameshaanza Kusema eti pesa ndogo unamjua Kasesela wewe!
Tunamjua huyo ni Mtoto wa Mama. Mpka sasa anaishi nyumba ya UrithiHivi unamjua vizuri Kasesela na anapotokea au kwakuwa umemsikia akiwa mkuu wa wilaya? unajua back ground yake? hiyo mbona hela ndogo?
Sioni hoja ya msingi hapa....