Je, kati ya Dar, Arusha, Mwanza, Moro, & Dodoma, ni wapi kunamfaa kuishi mtu wa maisha ya chini na kati?

Andika mkuu tafadhal kwa faida ya wengi tujifunze zaidi
ila hiyo pwani, jamaa amenishauri nichukue kiwanja, nikamwambia poa haina noma, ili kisizidi mil 5

nimwembia kisiwe mbali na mpaka wa Dsm na pwani, alafu ikibidi isiwe mbali bahari,,

amenicheka sanaaaπŸ˜ƒπŸ˜†πŸ€£
 
Umetisha aisee, comment yako itawafunza watu wengi ambao wanatamani kuishi katika maeneo yote uliyoitaja.
 
Wazoefu wa mikoa ifuatayo....
Je, kati ya mikoa ifuatayo ni wapi kunamfaa kuishi mtu wa maisha ya chini na kati?
(A) DAR ES SALAAM
(B) ARUSHA
(C) MWANZA
(D) MOROGORO
(E) DODOMA
USIACHE KUTOA/KUELEZA NA SABABU.

Right Marker
Dar es salaam
Dar ndio wanaishi masikini kabisa. Wanakula hadi utumbo wa kuku wakati hata kichaa wa kijijini hali.
 
Dar ndio wanaishi masikini kabisa. Wanakula hadi utumbo wa kuku wakati hata kichaa wa kijijini hali.
Dar ni moja ya miji mirahisi tanzania kulingana na sehemu unayoishi na je unatumia usafiri gani kwenda kazini kwako
Kama utaweza kufanya kazi karibu na unapoishi utafaidi sana dar
 
Mkuu ulizaliwa singida,Sumbawanga na Songea kwa wakati mmoja etiπŸ€”πŸ˜…
 
Mwanza na Morogoro panakufaa sana kwa maisha hayo unayotaka.

Maelezo ya kina hamna labda kidogo ni samaki, unakula fresh kabisa hajapitia kwenye friji, hamna msongamano wa kupoteza muda barabarani any time.
Mwanza kuna msongamano sana na time unapoteza barabarani sana tu mkuu
 
masha ni popote dogo asikudanganye mtu eti kuna maisha ya urahisi eti mkoa x unalima basi unga utakua bei chini wewe kazana tuh

kwanza futa habari ya kupigania tumbo alafu kaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…