Je, kati ya Dar, Arusha, Mwanza, Moro, & Dodoma, ni wapi kunamfaa kuishi mtu wa maisha ya chini na kati?

Sasa hizo comma zinahusianaje na swali nililokuuliza?
Ungekua unajua matumizi ya comma ungeelewa nlichomaanisha
Kwa kukusaidia comma ni kitenganisho cha neno na neno
Mfano watoto wa joh wanaumri wa debora 12, rachel 6 n.k
Kusema miji ya singida, songea na sumbawanga nilikozaliwa
Maana yake ni ile ya mwisho unaichukua
Mimi ni mzaliwa wa sumbawanga
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Mimi nilichukua yote bana
 
Dodoma bado hujapajua braza πŸ˜„
 
Wazoefu wa mikoa ifuatayo....
Je, kati ya mikoa ifuatayo ni wapi kunamfaa kuishi mtu wa maisha ya chini na kati?
(A) DAR ES SALAAM
(B) ARUSHA
(C) MWANZA
(D) MOROGORO
(E) DODOMA
USIACHE KUTOA/KUELEZA NA SABABU.

Right Marker
Dar es salaam
Kote kunafaa
 
Mkuu nakuunga mkono
1.Mbeya nimekaa,na nakaa..Aje Mbeya,Shopping ya 50,000 tunakula familia ya watu watatu pasipo shida kabisa.Kitu ambacho Dar huchomoi labbda ukae kule kwenye watu wengi kabisa kabisa.,Mbagala au Goms.
Hapa Mbeya mpaka nilitafuta Jumba nikawa na Bustani ya mboga zote.Ndio kabisaaaaaa.
2.Geita nimekaa pia tena nilianzia LodgeπŸ˜€πŸ˜€ pamoto hapo kwa gharama za misosi.Labda ukae huku Mbugani na baadhi ya sehemu.

3.Morogoro nimeishi na inawezekana kabisa,unaweza pata Nyumba nzima au chumba kwa bei za kawaida mitaa ya kawaida na Misosi ukiwa pale Town ukawa na connection na wale wamama wanaoshusha misosi toka milimani..Utaishi vyema sana,ukienda Chamwino kule unakula vizuri tu.

4.Dodoma nimekaa nilianzia Lodge pia,kuna mitaa unaweza kukaa kijanja sema kama wadau kazi kazini huko.

5.Singida-Niliona maisha mepesi mepesi..

Kwa kifupi Moro na Mbeya ni best option kuanza maana kinachoua sana ni vyakula.Njaaa vs pesa unayopata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…