Je, Kati ya "Oktoba linda kura' na "No reforms no election" ipi inahamasisha vurugu?

Tsyamatsy

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2023
Posts
310
Reaction score
459
Mimi 'OKTOBA LINDA KURA' Ni kuhamasisha vurugu na NI uchonganishi WA kipuuzi Sana! Kwanini ulikubaliana na kanuni za uchaguzi, ukasaini Kwa madaha Leo uje ugeuke utulaghai eti baada ya kupika Kura' uilinde wakati Sheria uliyoisaini inakutaka UONDOKE baada ya kupiga Kura, huoni huko NI kutaka kutufanya Sisi mazuzu? HUTUPATI NG'OOOO!!!
Bali 'NO REFORM NO ELECTION ' ndio ustaarabu Kwa watu WELEDI!! Mtu mstaarabu na mwelewa hawezi kukubaliana na kusaini kitu ambacho hakubaliani nacho eti baada ya kusaini atajageuka, rubbish!! and horse manure!!
Hitimisho; OKTOBA LINDA KURA' ni kuleta vurugu na kuwatafutia sababu makusudi Polisi.
Na NO REFORM NO ELECTION Ni Kwa wale wanaojitambua na wameona dosari Ambazo hawakubaliani nazo mapema kabisa wanahitaji zirekebishwe.
 
Zitto anataka kuwatumia wananchi kama ngao, wavunjwe miguu halafu baadaye waje kwenye meza ya " mazungumzo", hakuna raia aliyewahi kulinda kura ... Ni kosa kisheria
 
#pumzika salama Mdude

IMG-20250614-WA0044.jpg
 
Screenshot_20250615-124601~2.png
 
NERNE-2025

No electroral reforms 2025, No elections 2025
 
Kama walimwaga wino basi tena wataijua CCM isivyo na mchezo
Huyu bwana mdogo nilidhani wanaomsakama wanamuonea, kumbe ni lijinga Sana, uliowaona wamekataa uliowaona ni wajinga, umesaini ili iweje?? Ili uje utuchonganishe na Dola watuvunje!! HUTUPATI NG'OOOO!!
 
Zitto anataka kuwatumia wananchi kama ngao, wavunjwe miguu halafu baadaye waje kwenye meza ya " mazungumzo", hakuna raia aliyewahi kulinda kura ... Ni kosa kisheria
Mambo ya kizamani hayo!! Hawakulazimishwa kusaini, kumbe walisaini kutegemea waje watushawishi tukafanye vurugu vituoni kwenda kinyume na masharti ya tume ya uchaguzi, lijinga Sana hili
 
Mimi 'OKTOBA LINDA KURA' Ni kuhamasisha vurugu na NI uchonganishi WA kipuuzi Sana! Kwanini ulikubaliana na kanuni za uchaguzi, ukasaini Kwa madaha Leo uje ugeuke utulaghai eti baada ya kupika Kura' uilinde wakati Sheria uliyoisaini inakutaka UONDOKE baada ya kupiga Kura, huoni huko NI kutaka kutufanya Sisi mazuzu? HUTUPATI NG'OOOO!!!
Bali 'NO REFORM NO ELECTION ' ndio ustaarabu Kwa watu WELEDI!! Mtu mstaarabu na mwelewa hawezi kukubaliana na kusaini kitu ambacho hakubaliani nacho eti baada ya kusaini atajageuka, rubbish!! and horse manure!!
Hitimisho; OKTOBA LINDA KURA' ni kuleta vurugu na kuwatafutia sababu makusudi Polisi.
Na NO REFORM NO ELECTION Ni Kwa wale wanaojitambua na wameona dosari Ambazo hawakubaliani nazo mapema kabisa wanahitaji zirekebishwe.
Mkuu hakuna!
 
Hakuna yeyote inayohamasisha vurugu isipokuwa wenye nia ovu ndio wanawaza vurugu
 
Mimi 'OKTOBA LINDA KURA' Ni kuhamasisha vurugu na NI uchonganishi WA kipuuzi Sana! Kwanini ulikubaliana na kanuni za uchaguzi, ukasaini Kwa madaha Leo uje ugeuke utulaghai eti baada ya kupika Kura' uilinde wakati Sheria uliyoisaini inakutaka UONDOKE baada ya kupiga Kura, huoni huko NI kutaka kutufanya Sisi mazuzu? HUTUPATI NG'OOOO!!!
Bali 'NO REFORM NO ELECTION ' ndio ustaarabu Kwa watu WELEDI!! Mtu mstaarabu na mwelewa hawezi kukubaliana na kusaini kitu ambacho hakubaliani nacho eti baada ya kusaini atajageuka, rubbish!! and horse manure!!
Hitimisho; OKTOBA LINDA KURA' ni kuleta vurugu na kuwatafutia sababu makusudi Polisi.
Na NO REFORM NO ELECTION Ni Kwa wale wanaojitambua na wameona dosari Ambazo hawakubaliani nazo mapema kabisa wanahitaji zirekebishwe.
Zitto ni jinga Lao
 
Attachments

  • downloadfile-74.jpg
    downloadfile-74.jpg
    187.6 KB · Views: 35
Mimi 'OKTOBA LINDA KURA' Ni kuhamasisha vurugu na NI uchonganishi WA kipuuzi Sana! Kwanini ulikubaliana na kanuni za uchaguzi, ukasaini Kwa madaha Leo uje ugeuke utulaghai eti baada ya kupika Kura' uilinde wakati Sheria uliyoisaini inakutaka UONDOKE baada ya kupiga Kura, huoni huko NI kutaka kutufanya Sisi mazuzu? HUTUPATI NG'OOOO!!!
Bali 'NO REFORM NO ELECTION ' ndio ustaarabu Kwa watu WELEDI!! Mtu mstaarabu na mwelewa hawezi kukubaliana na kusaini kitu ambacho hakubaliani nacho eti baada ya kusaini atajageuka, rubbish!! and horse manure!!
Hitimisho; OKTOBA LINDA KURA' ni kuleta vurugu na kuwatafutia sababu makusudi Polisi.
Na NO REFORM NO ELECTION Ni Kwa wale wanaojitambua na wameona dosari Ambazo hawakubaliani nazo mapema kabisa wanahitaji zirekebishwe.
Kumbuka uchaguzi sio vita Bali ni uelewa wa wazi wa nn kinafanyika na kwa ajili ya nn,MAIGIZO YA UCHAGUZI Hayajatuletea chochote toka 2019,2020 na 2024.Hakuna sababu ya kupiga kura ambazo hazileti viongozi.NO REFORMS NO ELECTION NDIO DAWA YA PEKEE KWA MAENDELEO YETU YA KWELI NA SIO MAENDELEO FEKI.
 
Back
Top Bottom