Mimi 'OKTOBA LINDA KURA' Ni kuhamasisha vurugu na NI uchonganishi WA kipuuzi Sana! Kwanini ulikubaliana na kanuni za uchaguzi, ukasaini Kwa madaha Leo uje ugeuke utulaghai eti baada ya kupika Kura' uilinde wakati Sheria uliyoisaini inakutaka UONDOKE baada ya kupiga Kura, huoni huko NI kutaka kutufanya Sisi mazuzu? HUTUPATI NG'OOOO!!!
Bali 'NO REFORM NO ELECTION ' ndio ustaarabu Kwa watu WELEDI!! Mtu mstaarabu na mwelewa hawezi kukubaliana na kusaini kitu ambacho hakubaliani nacho eti baada ya kusaini atajageuka, rubbish!! and horse manure!!
Hitimisho; OKTOBA LINDA KURA' ni kuleta vurugu na kuwatafutia sababu makusudi Polisi.
Na NO REFORM NO ELECTION Ni Kwa wale wanaojitambua na wameona dosari Ambazo hawakubaliani nazo mapema kabisa wanahitaji zirekebishwe.