Je, katika Biblia Takatifu kuna kifungu kinachoelezea ulazima wa Bibi Harusi kuvaa shela?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jmn comments [emoji1672][emoji1672]
 
Kwan kwenye biblia wamendika wap ndoa ni ile inayofungwa kanisani tu ?
Vtu vingne ni taratibu walizojiwekea binadamu wenyewe ili waweze kuishi bila mkanganyiko
 
Mkuu hio kutokana na Mimi kufuatilia kuhusu gauni la Bibi harusi, na sio shela maana shela najua limeandikwa hata katika agano la kale kitabu Cha Mwanzo 24:65.
Na sio gauni lile , nafikili umenielewa mkuu.
Gauni la bibi harusi we unajua ni la aina gani kwa jinsi roho wa bwana alivyokuongoza? Ukiwa na hofu kuhusu shela na unataka uendane na vazi la bibi harusi wa kwenye biblia omba roho mtakatifu akufunulie ulione.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…