Je, katika Hafla ya Jana Rufiji Wajane wa Nyerere, Mkapa na Magufuli nao walikuwepo?

Je, katika Hafla ya Jana Rufiji Wajane wa Nyerere, Mkapa na Magufuli nao walikuwepo?

Hao wajane wanahusikaje tofauti na raia wengine katika hilo bwawa la Nyerere hadi iwe kitu cha muhimu sana kutumia pesa za walipa kodi kuwatoa huko mbali kuwafikisha hapo katika bwawa??
Watu wa Itifaki Mungu anawaoneni.
 
Wale ni wazee, mfano maria na mama mkapa, sio sawa kuwatembeza kila shughuli watokee,, mama magufuli yeye kawaida siyo mtu wakutoka mbele kila siku
Ahh...ok,maana ccm shuguli zao huwa haziishi...wanapenda mashugulishuguli tu

Ova
 
Back
Top Bottom