New City JF-Expert Member Joined Apr 17, 2014 Posts 2,880 Reaction score 3,794 Dec 23, 2022 #21 Labani og said: Popoma charismatic fala Click to expand... Mkuu Muache, katoka kifungoni Sasa hv, tafadhali usimrudishe tena 🤣🤣
Labani og said: Popoma charismatic fala Click to expand... Mkuu Muache, katoka kifungoni Sasa hv, tafadhali usimrudishe tena 🤣🤣
dr namugari JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 10,466 Reaction score 18,206 Dec 23, 2022 #22 Bila wee jf siyo kitu kwangu Ingaawa hatuelewani ila nakukubali tu le pipomaz[emoji41] Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Bila wee jf siyo kitu kwangu Ingaawa hatuelewani ila nakukubali tu le pipomaz[emoji41] Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Dec 24, 2022 #23 Kwani katiba inasemaje kuhusu ilo kiongozi?
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Dec 24, 2022 #24 Hao wajane wanahusikaje tofauti na raia wengine katika hilo bwawa la Nyerere hadi iwe kitu cha muhimu sana kutumia pesa za walipa kodi kuwatoa huko mbali kuwafikisha hapo katika bwawa?? GENTAMYCINE said: Watu wa Itifaki Mungu anawaoneni. Click to expand...
Hao wajane wanahusikaje tofauti na raia wengine katika hilo bwawa la Nyerere hadi iwe kitu cha muhimu sana kutumia pesa za walipa kodi kuwatoa huko mbali kuwafikisha hapo katika bwawa?? GENTAMYCINE said: Watu wa Itifaki Mungu anawaoneni. Click to expand...
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Dec 24, 2022 #25 Elungata said: Wale ni wazee, mfano maria na mama mkapa, sio sawa kuwatembeza kila shughuli watokee,, mama magufuli yeye kawaida siyo mtu wakutoka mbele kila siku Click to expand... Ahh...ok,maana ccm shuguli zao huwa haziishi...wanapenda mashugulishuguli tu Ova
Elungata said: Wale ni wazee, mfano maria na mama mkapa, sio sawa kuwatembeza kila shughuli watokee,, mama magufuli yeye kawaida siyo mtu wakutoka mbele kila siku Click to expand... Ahh...ok,maana ccm shuguli zao huwa haziishi...wanapenda mashugulishuguli tu Ova