Mtu Asiyejulikana JF-Expert Member Joined Sep 11, 2017 Posts 2,254 Reaction score 5,161 May 21, 2021 #1 Miaka 40+ 1. Nalalia sana upande mmoja je kichwa kinaweza bonyea upande huo hata kidogo? 2. Wenye shughuli za kukaa muda mrefu je makalio yanaweza bonyea na kusababisha kuwa flat?hasa kwa wanawake. Sisi wanaume hatuyahitaji.
Miaka 40+ 1. Nalalia sana upande mmoja je kichwa kinaweza bonyea upande huo hata kidogo? 2. Wenye shughuli za kukaa muda mrefu je makalio yanaweza bonyea na kusababisha kuwa flat?hasa kwa wanawake. Sisi wanaume hatuyahitaji.
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 7,794 Reaction score 7,551 May 21, 2021 #2 Wewe nawe!!!! Basi umeumbwa kama nyanya baada ya muda inaharibika.