Je, katika umri huu Morphology inaweza kuathirika?

Je, katika umri huu Morphology inaweza kuathirika?

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Miaka 40+
1. Nalalia sana upande mmoja je kichwa kinaweza bonyea upande huo hata kidogo?

2. Wenye shughuli za kukaa muda mrefu je makalio yanaweza bonyea na kusababisha kuwa flat?hasa kwa wanawake. Sisi wanaume hatuyahitaji.
 
Wewe nawe!!!! Basi umeumbwa kama nyanya baada ya muda inaharibika.
 
Back
Top Bottom