Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Nimekusoma. Tukazanie Tume huru ya uchaguzi. La sivyo "daddy will remain live ever".Tumshukuru Maulana maana mtoto analia kwa adhabu aliyopewa soon atalia zaidi kwa kuondokewa na dady (wa ki psychology)
Wachache sana watakua wamenielewa.
Hili namuamini Magu kwa asilimia zote. Kachoka sarakasi za PrinceLakini pia ukiwa mbunge,huna hofu ya kuondolewa kama ukiwa mteule hasa wa Magu, hivyo huenda ndio maana wengi wanaona bora wajaribu nafasi za kuchaguliwa achilia mbalii masilahi bora zaidi.
Ila bado nasisitiza,msimuamini Magu katika hili.
Najiuliza Rais alikua ana maana gani kusema walio zaliwa 1982 wana tamaa sana.
Wajuzi wa nyota leteni ufafanuzi.View attachment 1508269
Kweli Magu Hana uswahili... Lile jitu la bara uswahili wa pwani Halina lenyewe linakupa raw and unsugarcoated.Bashite .....[emoji17][emoji17]
Mi naona kabisa koroboi utambi unazama. Magu hanaga mambo ya kiswahili Kwanza Hana Siri akisema hakutaki ,hakutaki kweli, akisema sijakutuma ujue hujatumwa Hana kupapasa papasa mambo.
Kwenye hili makondo hawezi kosa tundikwa dripi za kutosha.
Subiri atavyokuja kumpongeza akishinda hivyo nafasi.Hili namuamini Magu kwa asilimia zote. Kachoka sarakasi za Prince tako kubwa. Tako sofa.
Ok. Lets wait and see....!!1982!
Kwani mskuma ni bashite tu peke yake kwenye serikali? Magufuli licha ya mapungufu yake mengine lakini pia Hana unafiki.Unamwamini Riais!???? Yani bashite anaandaliwa kua waziri tena wa ulinzi au ubunge amini na kwambia huyo ni Msukuma ujue
Tatizo kauli hizi zilizotolewa, hata kama ni za kinafiki, Zitawachanganya wale wanaofanya Michakato majimboni; Kwamba huenda Muheshimiwa amemaanisha, lakini pia kauli kama hizo zinatrigger wapiga kura kwenye Hlmashauri za CCM wilaya.Makonda anashinda mapema tu ubunge halafu huyohuyo Magu anampa uwaziri wa mambo ya ndani
Picha hii wenye akili tuna kaa kimya mpaka tusikie elowi elowi. Waombaji ni wengi sana ila ccm imetega sehem moja tu na wakichemkamoto utawaka mpaka na nchi ilipuke what is next watu wenye akili wametulia kumshauri mkulu sasa mwisho macho yote kwa John. Kiufupi labda niseme tu yajayo yanafulahisha Wanao jifanya wanamjuwa basi watalia sana mpaka kilio...Inaweza kuwa hii hapaView attachment 1508273
Tamaa mbaya.. kataka maslai na kuonja cheo Cha kuchaguliwa alichoka cheo Cha kuteuliwa.Inayumnikanaje mtu aache ukuu wa mkoa wa Daresalaa na kuutaka ubunge wa kitongoji cha Kigamboni ?
Nimeshindwa kupata jawabu
Alijua atatumbuliwa muda si mrefu, bora akatafute rizki kwingine haraka iwezekanavyoInayumnikanaje mtu aache ukuu wa mkoa wa Daresalaa na kuutaka ubunge wa kitongoji cha Kigamboni ?
Nimeshindwa kupata jawabu