Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mkutano kule Tarime Heche alimpa Magu makavu kulikua hakuna kuremba,Magu akaishia tu kusema wewe Heche usinijibu hivyo mimi wewe ni sawa na mwanangu,hahahKweli Magu Hana uswahili... Lile jitu la bara uswahili wa pwani Halina lenyewe linakupa raw and unsugarcoated.
Makonda atapata tabu saana.
Kuna watu wataamini hajatumwa eti hahah.Waziri Mpango
Waziri Kabudi
Hajawatuma yeye wakagombee kabisa hajawatuma?
Lakini sidhani Kama anaweza kusema kawatuma watu wakagombee.
Kwani mskuma ni bashite tu peke yake kwenye serikali? Magufuli licha ya mapungufu yake mengine lakini pia Hana unafiki.
maeno maneno hata kwenye ndoa za watu yanaharibugi sana mahusiano hilo swala la kusema watu wanasema mmhhhDogo kachemsha, and watu humu wanasema eti anaandaliwa kuwa waziri!!
Usimwamini sana Magu
Kinyume chake huenda ndio ukweli ii msije kusema aliwaandaa ili aje awape uwaziri.
ukimkagua sana bata huwezi kumlaaaa..tulijadiligi miaka Fulani hapa swala la lowasa kwenda ukawa lakini sasahivi huyhuyo lowasa anamsifia magufuli la msingi kwenye maisha ni MUDA ndo utakwambia hapa kweli au uongoWacha tungoje tuone. Nchi hii ina maajabu mengi. Let's not jump to conclusion. In the long run I am sure he knows what he is doing, hajakurupuka
Exist strategy.Huenda System imetumia mbinu za medani kumtenganisha Rais na Makonda kama walivyofanya kwa Jakaya na Rostam
Wamemjaza Makonda akajaa kwa kuambiwa anapendwa sana Kigambon japo pia Wanasiasa ni wasanii kuliko kina Shilole
Nimesema jana hapa Makonda byebyee...
Kwa hiyo cheamani wako ni mpumbazaji? Huna heshima kwa anayekulipa buku 7 binti!!??Mnapumbazwa kiaina subirini hao wa 1982 ni hadi uwaziri hao