Uchaguzi 2020 Je, kauli hizi za 'Tamaa ya Madaraka na kutomtuma mtu kugombea' alizotoa Rais Magufuli ni dongo kwa Makonda na Gambo?

In politics hakuna bahati mbaya everything is planned
 
Ukimsikiliza msemaji wa Rais anakwambia wazaramo wanausemi ambao unabamba sana mjini usemao Mwana kulitafuta Mwana kulipata pia Mama Samia naye anakwambia wateule wa Rais wajifunze kuridhika Ukija kwa JPM mwenyewe anawaambia mie sijatuma mtu...
Seems una hoja lkn umeshindwa kuitoa kwa wasomaji. All in all Makonda katumwa! Makonda hana akili za kufanya lolote bila maelekezo! Kwa hili kuachia madarka hawezi kuthubutu bila Jiwe kumpa support!
 
CCM hakuna demokrasia watu wanatishwa baada ya kuchukua fomu
 
Anaandaliwa kuwa waziri na hata msishangae akawa waziri mkuu.
Tuwe makini sana na kauli za wanasiasa. Wanajua kucheza sana na akili zetu.
 
Na kwa vile Magu ni kama mungu ndani ya ccm basi tegemea Kigamboni kutoswa Makonda kura ya maoni mpaka atashangaa.
Tamko la magu ni kama kawaambia "simtaki huyo"
 
Dogo kachemsha, and watu humu wanasema eti anaandaliwa kuwa waziri!!
Watu wanamsikia tu Dr Magufuli. Hawajui kuwa Dr ni mtu ayeamini na kushikilia kile kitu anachokiamini. Bw Paul Makonda anaweza kujipata mahali penye changamoto kali bila kutarajia.

Tuwe na subra
 
Kwa siasa za magu ukimpenda/usipompenda style yake, basi usiweke sana moyoni utaumia.
Rejea mambo ya vyeti vya magumashi alisema nini na alifanya nini?
Rejea uteuzi na utenguzi wa mwigulu alisema nini na alifanya nini?
Rejea uteuzi na utenguzi wa mrisho gambo alisema nini na gambo amefanya nini? Gambo hajachukua fomu kwa bahati mbaya.
Rejea malalamiko ya ndani na nje ya nchi kuhusu makonda, lakini amechukua fomu tena akiwa bado yuko ofisini. Baada ya kuchukua fomu ndio uteuzi wake umetenguliwa.

Mkulu alisha sema kwamba inategemea atakavyo amka. Usijiwekee uhakika wala usijikatishe tamaa kwa kiongozi wa aina hii, lolote linaweza kutokea na maisha yakaendelea.
 
Amin anin nawambien.
Paul makonda ameandaliwa kugombea jimbo la kigamboni na bada ya kuwa mbunge atakuwa waziri wa mambo ya ndani au waziri mkuu.
Mi nawambia haya ili badae yakitokea mjue nilisema.
 
Hawapiti hao km Mungu aishivyo,hawapitiii

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Usimwamini sana Magu.

Kinyume chake huenda ndio ukweli ii msije kusema aliwaandaa ili aje awape uwaziri.
Mkuu wewe ndie umeona kwa jicho la tai, acha wanaorukaruka kama maharage kwa sufuria waendelee kushangilia.
 
Kumbe jamaa limetaja hadi miaka ya 1980s

Ila magufuli nae kwa kusengenya wanzake hajambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…