Tofauti na kazi yenyewe Kwa siku k unauza mara ngapi?Nomba mnieleze hapa je kazi ya massage ni nzuri kwa kujiendeleza maisha ama ni pesa zimelaaniwa, maana nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake.
Angalau ninunue ploti nijenge. Utapata mtu anauza kibanda cha mboga na yuko mbele sana
Njoo PM nikupe darasa.. miaka 10 hujachelewa bado.. 😊😊Nomba mnieleze hapa je kazi ya massage ni nzuri kwa kujiendeleza maisha ama ni pesa zimelaaniwa, maana nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake.
Angalau ninunue ploti nijenge. Utapata mtu anauza kibanda cha mboga na yuko mbele sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka kweli 🙌Wewe unatekenya waume za wenzio kutwa unafikiri laana itakuacha?
Inategemea na malengo YAKO kwenye hio kazi na umesema una miaka 10 yawezekana umeipenda kazi hio ndoo Mana hujaamua kuiacha .....Nomba mnieleze hapa je kazi ya massage ni nzuri kwa kujiendeleza maisha ama ni pesa zimelaaniwa, maana nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake.
Angalau ninunue ploti nijenge. Utapata mtu anauza kibanda cha mboga na yuko mbele sana
swali muhimu sana hiliHiyo massage yako iko wapi? Tuje kufanya body massage
Nani kailaani?Nomba mnieleze hapa je kazi ya massage ni nzuri kwa kujiendeleza maisha ama ni pesa zimelaaniwa, maana nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake.
Angalau ninunue ploti nijenge. Utapata mtu anauza kibanda cha mboga na yuko mbele sana
Halafu wewe Malaika mbona hujajibu message yangu Tagged ?Nomba mnieleze hapa je kazi ya massage ni nzuri kwa kujiendeleza maisha ama ni pesa zimelaaniwa, maana nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake.
Angalau ninunue ploti nijenge. Utapata mtu anauza kibanda cha mboga na yuko mbele sana
Sijakupata vizuri, yaani wamaanisha hakuna mtu anapenda kazi hii.Labda maana hata wateja wanapenda unavyo washikashika lakini hakuna hata mmoja anaetamani mke au dada yake awe kama wewe
InalipaWadangaji hawanaga mipango ya maisha.
kazi ya massage ni nzuri na kipato kizuri ya kufanya maendeleo
Tatizo unafanya biashara yako kwa siri, ndiyo sababu hupigi hatua. Ona sasa unaulizwa, ofisi ilipo! Hutaki kusema.Sijakupata vizuri, yaani wamaanisha hakuna mtu anapenda kazi hii.