Je, kazi ya Massage imelaaniwa? Nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake

Nomba mnieleze hapa je kazi ya massage ni nzuri kwa kujiendeleza maisha ama ni pesa zimelaaniwa, maana nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake.

Angalau ninunue ploti nijenge. Utapata mtu anauza kibanda cha mboga na yuko mbele sana
Tofauti na kazi yenyewe Kwa siku k unauza mara ngapi?
 
Nomba mnieleze hapa je kazi ya massage ni nzuri kwa kujiendeleza maisha ama ni pesa zimelaaniwa, maana nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake.

Angalau ninunue ploti nijenge. Utapata mtu anauza kibanda cha mboga na yuko mbele sana
Njoo PM nikupe darasa.. miaka 10 hujachelewa bado.. 😊😊
au ni PM namba yako
 
Nomba mnieleze hapa je kazi ya massage ni nzuri kwa kujiendeleza maisha ama ni pesa zimelaaniwa, maana nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake.

Angalau ninunue ploti nijenge. Utapata mtu anauza kibanda cha mboga na yuko mbele sana
Inategemea na malengo YAKO kwenye hio kazi na umesema una miaka 10 yawezekana umeipenda kazi hio ndoo Mana hujaamua kuiacha .....
unapojihusisha na kazi yoyote lazima uwe na 1.bajeti(mapato unayopata na matumizi )
2.Akiba;KWA maana faida unazopata kwenye hio kazi uwe na mtindo wa kujiwekea akiba (Sasa najiuliza kwa miaka 10 ungekuwa na desturi ya kuweka akiba ploti mapema ungekuwa nayo)
3.Kuwa na nidhamu na pesa unayoipata...usitumie kwenye mambo yasiyo na umuhimu kwako .
4.Panga miapngo YAKO na utembee nayo mfano nataka ninunue haria mwaka huu lazima vipengele vya hapo juu utavifuata..
5.Mkumbuke Bwana siku zote za maisha yako .... yawezekana hio kazi sio fungu ulopangiwa but unaforce Mwombe Mungu atengeneze njia kwa ajili ya maisha YAKO
6.Mwisho ushauri unakuwaga mwingi ila usipokuwa na maamuzi sahihi na msukumo wa kufanya haya utaishia kulalamika tu
 
Nomba mnieleze hapa je kazi ya massage ni nzuri kwa kujiendeleza maisha ama ni pesa zimelaaniwa, maana nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake.

Angalau ninunue ploti nijenge. Utapata mtu anauza kibanda cha mboga na yuko mbele sana
Halafu wewe Malaika mbona hujajibu message yangu Tagged ?
 
Back
Top Bottom