kwakina itafakari
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 739
- 1,657
Kwamba katika kipindi cha Hayati, Kenya waliumia sana kuona jinsi mwendazake alivyolirudusha Taifa la Tanzania nyuma katika nyanja zote? Wakatuonea sana huruma jinsi majirani zao tulivyokuwa tunataabika?
Kwamba Leo hii Kenya wanafurahi na kusherekea saana kuona Mama anavyoipeleka Tanzania katika mafanikio ya juu kabisa kuyapita Mataifa mengine mengi? (Kenya yenyewe ikiwemo) ndio maana haraka haraka wakamualika Mama aende kwao ili kuonyesha furaha yao,na heshima yao kwake?
Kwamba baadhi ya mashabiki/ wafuasi wa Wapinzani Leo hii wana furaha sana kuona jinsi nchi inavyosonga mbele chini ya uongozi wake Mama kupitia ile ile CCM, kupitia katiba ile ile, kwasababu tu wao adui yao mkuu alikuwa Hayati, ndio maana walifikia hatua ya kuiombea hii nchi mabaya kila uchwao?
Kwamba Wao wapo tayari sasa hivi CCM chini ya uongozi wake Mama waongoze milele kwasababu wao hawana tena nia ya kuongoza hii nchi hata siku moja,shida yao kubwa ilikuwa Hayati,upinzani wao ulianza kipindi cha Hayati, matatizo yao yote (na ya nchi hii kwa ujumla) yalianza kipindi cha Hayati na kwa vile sasa hivi hayupo basi wao furaha tele na kila kitu saaafi kabisa?
Mama utawale milele, kwasababu Tanzania sasa hivi furaha tele, wapinzani furaha tele, majirani zetu nao furaha tele na kwa upendo wako tele, uungwana wako tele, tutakuwa na maendeleo tele!!