Je, kesho Tabora itamfukuzisha kazi kocha wa KMC?

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Tabora imecheza na Yanga , kocha wao Gamond akafukuzwa, kisha ikacheza na Singida Black Stars , nao wakamfukuza kocha wao.

Sasa kesho 29/11/2024, ni zamu ya KMC. Swali ni je, kocha wa KMC atapona kipigo cha Tabora na kuepuka kufukuzwa kazi?
 
Vipi yule msemaji wao mwanadada yule kaahidi nini tena iwapo timu yake itafungwa?
 
Tabora imecheza na Yanga , kocha wao Gamond akafukuzwa, kisha ikacheza na Singida Black Stars , nao wakamfukuza kocha wao.

Sasa kesho 29/11/2024, ni zamu ya KMC. Swali ni je, kocha wa KMC atapona kipigo cha Tabora na kuepuka kufukuzwa kazi?
Ila Tabora Utd wa moto acha.
 
Mada za Siasa ahaha
Mijadala ya siasa inachosha akili tu. Watu wanajadili sana siass huko space, lkn mwisho wa siku ccm wanabaka uchaguzi, na hakuna cha kuwafanya.

Si bora tujadili mpira ambao tunaona hatua zinachukuliwa, makocha wanafukuzwa?
 
Tabora imecheza na Yanga , kocha wao Gamond akafukuzwa, kisha ikacheza na Singida Black Stars , nao wakamfukuza kocha wao.

Sasa kesho 29/11/2024, ni zamu ya KMC. Swali ni je, kocha wa KMC atapona kipigo cha Tabora na kuepuka kufukuzwa kazi?
Moto ni uleule.. Nyuki hakumbatiwi
 
Back
Top Bottom