Je, kesho Tabora itamfukuzisha kazi kocha wa KMC?

Mada za Siasa ahaha
Kuoga je! ahhh
Mijadala ya siasa inachosha akili tu. Watu wanajadili sana siass huko space, lkn mwisho wa siku ccm wanabaka uchaguzi, na hakuna cha kuwafanya.

Si bora tujadili mpira ambao tunaona hatua zinachukuliwa, makocha wanafukuzwa?
Msichokijua hata hao wa space wakipewa hzo dhamana ima watatawaliwa na udini Uganda au ukabila usisahau kunyanyua mabela na wizi tunaaona humu maofisini au hao waliospace ni zao la wazaz wao walioibia na kuifukkarisha nchi tunapokuja kuamua yupi ni bora mara mia 4 CCM ni bora tulupe mfano kuna muda Mboe alimuattack Samia not as presient bt kaaaama ssamia kwa uanamke au Uganda anaotoka hii si dalili nzur kwa matured experienced as well as talented kuattack personal issues kaliba ya mboe au lissu so hii watu waliingia hofu kama hawa watu tukiwafikiria hatakuwakaribish ikulu ni haatari kwa mustakbal wa taifa letu so ccm imechokwa sasa nani ttumkabidhi pale
 
Sisi hatuko huko, hivi sasa tunasubiri mechi za CAF champions & confederation tarehe 7 na 8. Mambo ni moto!!
 
Back
Top Bottom