Je, kesi ikifutwa, Vielekezo navidhibiti vyote vinarudishwa Kwa wenyewe?

Je, kesi ikifutwa, Vielekezo navidhibiti vyote vinarudishwa Kwa wenyewe?

IKUNGURU IJIRU CHUKU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2021
Posts
484
Reaction score
545
Naomba nifahamishwe hili la KESI ya MBOWE kufutwa, au DPP kutokuwa interest na KESI, Swali langu ni Je Vielelezo navidhibiti vyote vitarudishwa Kwa wenyewe? Kama vitarudishwa. Je AKINA Bwire watarudishiwa Madawa Yao ya kulevia na Bastola Yao?

Kisheria limekaaje hili.
 
Hii kesi hajaisha, bali iko muted tu, Kama Mbowe ataendelea na Ukorofi wake, DPP huyo huyo atairudisha kesi hiyo hiyo Mahakamani! Nenda kasome kitabu kimoja kinaitwa "The Power of DPP in Court'!! Majibu na Maswali yako yote yako humo!!
 
Naomba nifahamishwe hli la KESI ya MBOWE kufutwa,,au DPP kutokuwa interest na KESI,,Swali langu NI Je Vielekezo navidhibiti vyote vitarudishwa Kwa wenyewe?? Kama vitarudishwa,NI Je AKINA Bwire watarudishiwa Madawa Yao ya kulevia na Bastola Yao??..kisheria limekaaje hili.
Nakushauri uwasiliane na mwanasheria kiongozi wa upande wa mashtaka /upande wa dpp kujua je vilivyokusanywa kama sehemu ya ushahidi vinatokomea wapi? Mapangoni au tumuombe Mr. Kiroboto akawachokonoe kutoka mapangoni⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️
 
Hii kesi hajaisha,bali iko muted tu,Kama Mbowe ataendelea na Ukorofi wake, DPP huyo huyo atairudisha kesi hiyo hiyo Mahakamani! Nenda kasome kitabu kimoja kinaitwa "The Power of DPP in Court'!! Majibu na Maswali yako yote yako humo!!
siledi closed
 
Naomba nifahamishwe hli la KESI ya MBOWE kufutwa,,au DPP kutokuwa interest na KESI,,Swali langu NI Je Vielekezo navidhibiti vyote vitarudishwa Kwa wenyewe?? Kama vitarudishwa,NI Je AKINA Bwire watarudishiwa Madawa Yao ya kulevia na Bastola Yao??..kisheria limekaaje hili.
Watarudishiwa vielelezo ambavyo ni halali tu kwenye jicho la sheria......
ambavyo sio halali vinateketezwa
 
Imeisha hio kila kitu kimezimwa
 
Naomba nifahamishwe hli la KESI ya MBOWE kufutwa,,au DPP kutokuwa interest na KESI,,Swali langu NI Je Vielekezo navidhibiti vyote vitarudishwa Kwa wenyewe?? Kama vitarudishwa,NI Je AKINA Bwire watarudishiwa Madawa Yao ya kulevia na Bastola Yao??..kisheria limekaaje hili.
Kulingana na kifungu cha 90 cha sheria ya mwenendo wa malosa ya jinai sura ya 20 (Criminal Procedure Act CPA) kinampa mamlaka mkurugenzi wa mashtaka DPP nguvu ya kutoendelea na kesi kwa lugha ya kisheria nolle proseque.

Mpaka inafikia wakati wa (DPP) mkurugenzi wa mashtaka anaingia nolle proseque yaaan nia ya kutoendelea na kesi iyo kuna sababu mbali mbali zinazopelekea suala ilo kutokea.
Mfano; kukosekana kwa ushahidi wa kujitosheleza katika kesi iyo.

Suala la kurudisha vifaa ambavyo vilitumiwa kama vielelezo vya ushahidi ili kufikia haki HAVITARUDI bali vitabaki kwenye mipaka ya mahakama kama vilikuwa vishakabidhiwa tyari. Ila kama ni mali ambazo ni za muhimu sana basi wanaweza kufuata taratibu ili kuzipata.

Naomba kuwasilisha mkuu
 
Ukorofi gani wa Mbowe unaosema wewe au alikuvua chupi hadharani? Najua masalia wa lile shetani la pori la Burigi mnaumia sana mnataka kuendeleza chuki zenu za kishamba
Kumbe wwe ndiyo Mdude wa Chadema,hukomi tu na lugha zako chafu!!
 
Vielelezo vingi vilikuwa vya mchongo kama kesi yenyewe, bastola, simu na vielelezo vingine kama vilikuwa vinamilikiwa kihalali na watuhumiwa vinaweza vikarudishwa kwa waliokuwa watuhumiwa na vile vya mchongo vinaweza vikarudishwa kwa wachonga kesi wakaendeleze juhudi za kuchonga kesi kwa watu wengine.
 
Watarudishiwa vielelezo ambavyo ni halali tu kwenye jicho la sheria......
ambavyo sio halali vinateketezwa
Ile Bastola ambayo kwa jicho la sheria haiko halali kwa sababu haina usajili. Sasa DPP ameichukulia kwamba Adamoo alibambikiwa? Maana nilitegemea kwa kielelezo kile, kutokana na ushahidi wa Polisi wakamataji (Kingai au Jumanne), kingekua ni mali ya Adamoo ambaye kwa silaha hii, pamoja na DPP kutokua na nia ya kuendelea na kesi, asingefutiwa mashitaka ya kumiliki silaha kinyume cha sheria.

Sasa kama Adamoo alibambikiwa na kina Kingai, jambo ambalo limemfanya DPP aone Adamoo hana hatia na hiyo silaha, swali, hawa Polisi watachukuliwa hatua gani?
 
Vielelezo vingi vilikuwa vya mchongo kama kesi yenyewe, bastola, simu na vielelezo vingine kama vilikuwa vinamilikiwa kihalali na watuhumiwa vinaweza vikarudishwa kwa waliokuwa watuhumiwa na vile vya mchongo vinaweza vikarudishwa kwa wachonga kesi wakaendeleze juhudi za kuchonga kesi kwa watu wengine.
Vile vitakavyoonekana ni vya mchongo, vinawaacha wachongaji salama bila kuchukuliwa hatua za kisheria? Mfano kama Bastola ikawa ni ya mchongo, itawaacha salama wachongaji?
 
Huna adabu kabisa wewe dada
Naona unapwaga tu bila ya moto Jikoni,shauri yako,Mwenzako Mugabe alikuwa anapwaga bila ya Moto Jikoni,lakini toka ametoka amekuwa Mtoto mtiifu kwa Mama na hapwagi tena kama mwanzo, kawaa wa baridii!!
 
Hujahukumiwa bali umesamehewa... Vielelezo vinabaki kwao...
 
Asante sana kwa majibu yenu. Nimeshaelewa. Japo kuna mmama kanitusi kuniambia uelewa wangu ni mdogo, naye namshukuru, maana nimemuelewa
 
Back
Top Bottom