IKUNGURU IJIRU CHUKU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 484
- 545
Hii kesi hajaisha, bali iko muted tu, Kama Mbowe ataendelea na Ukorofi wake, DPP huyo huyo atairudisha kesi hiyo hiyo Mahakamani! Nenda kasome kitabu kimoja kinaitwa "The Power of DPP in Court'!! Majibu na Maswali yako yote yako humo!!Naomba nifahamishwe hili la KESI ya MBOWE kufutwa, au DPP kutokuwa interest na KESI, Swali langu ni Je Vielelezo navidhibiti vyote vitarudishwa Kwa wenyewe? Kama vitarudishwa. Je AKINA Bwire watarudishiwa Madawa Yao ya kulevia na Bastola Yao?
Kisheria limekaaje hili.
Nakushauri uwasiliane na mwanasheria kiongozi wa upande wa mashtaka /upande wa dpp kujua je vilivyokusanywa kama sehemu ya ushahidi vinatokomea wapi? Mapangoni au tumuombe Mr. Kiroboto akawachokonoe kutoka mapangoni⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️⛹️Naomba nifahamishwe hli la KESI ya MBOWE kufutwa,,au DPP kutokuwa interest na KESI,,Swali langu NI Je Vielekezo navidhibiti vyote vitarudishwa Kwa wenyewe?? Kama vitarudishwa,NI Je AKINA Bwire watarudishiwa Madawa Yao ya kulevia na Bastola Yao??..kisheria limekaaje hili.
Mjadala ufungwe.Uko chini sana kwenye uelewa.
Muulize hata mtoto mdogo hapo mtaani kwako atakujibu.
Chuki zimekuwa wiped off au hawalijii Hilo⛹️Ukorofi gani wa Mbowe unaosema wewe au alikuvua chupi hadharani? Najua masalia wa lile shetani la pori la Burigi mnaumia sana mnataka kuendeleza chuki zenu za kishamba
siledi closedHii kesi hajaisha,bali iko muted tu,Kama Mbowe ataendelea na Ukorofi wake, DPP huyo huyo atairudisha kesi hiyo hiyo Mahakamani! Nenda kasome kitabu kimoja kinaitwa "The Power of DPP in Court'!! Majibu na Maswali yako yote yako humo!!
Watarudishiwa vielelezo ambavyo ni halali tu kwenye jicho la sheria......Naomba nifahamishwe hli la KESI ya MBOWE kufutwa,,au DPP kutokuwa interest na KESI,,Swali langu NI Je Vielekezo navidhibiti vyote vitarudishwa Kwa wenyewe?? Kama vitarudishwa,NI Je AKINA Bwire watarudishiwa Madawa Yao ya kulevia na Bastola Yao??..kisheria limekaaje hili.
Kulingana na kifungu cha 90 cha sheria ya mwenendo wa malosa ya jinai sura ya 20 (Criminal Procedure Act CPA) kinampa mamlaka mkurugenzi wa mashtaka DPP nguvu ya kutoendelea na kesi kwa lugha ya kisheria nolle proseque.Naomba nifahamishwe hli la KESI ya MBOWE kufutwa,,au DPP kutokuwa interest na KESI,,Swali langu NI Je Vielekezo navidhibiti vyote vitarudishwa Kwa wenyewe?? Kama vitarudishwa,NI Je AKINA Bwire watarudishiwa Madawa Yao ya kulevia na Bastola Yao??..kisheria limekaaje hili.
Kumbe wwe ndiyo Mdude wa Chadema,hukomi tu na lugha zako chafu!!Ukorofi gani wa Mbowe unaosema wewe au alikuvua chupi hadharani? Najua masalia wa lile shetani la pori la Burigi mnaumia sana mnataka kuendeleza chuki zenu za kishamba
Vitatumika kwenye missions zingineJe AKINA Bwire watarudishiwa Madawa Yao ya kulevia na Bastola Yao??..kisheria limekaaje hili.
Zile pesa walizopokwa ??Vitatumika kwenye missions zingine
PGO tumbo streetZi
Zile pesa walizopokwa ??
Ile Bastola ambayo kwa jicho la sheria haiko halali kwa sababu haina usajili. Sasa DPP ameichukulia kwamba Adamoo alibambikiwa? Maana nilitegemea kwa kielelezo kile, kutokana na ushahidi wa Polisi wakamataji (Kingai au Jumanne), kingekua ni mali ya Adamoo ambaye kwa silaha hii, pamoja na DPP kutokua na nia ya kuendelea na kesi, asingefutiwa mashitaka ya kumiliki silaha kinyume cha sheria.Watarudishiwa vielelezo ambavyo ni halali tu kwenye jicho la sheria......
ambavyo sio halali vinateketezwa
Vile vitakavyoonekana ni vya mchongo, vinawaacha wachongaji salama bila kuchukuliwa hatua za kisheria? Mfano kama Bastola ikawa ni ya mchongo, itawaacha salama wachongaji?Vielelezo vingi vilikuwa vya mchongo kama kesi yenyewe, bastola, simu na vielelezo vingine kama vilikuwa vinamilikiwa kihalali na watuhumiwa vinaweza vikarudishwa kwa waliokuwa watuhumiwa na vile vya mchongo vinaweza vikarudishwa kwa wachonga kesi wakaendeleze juhudi za kuchonga kesi kwa watu wengine.
Naona unapwaga tu bila ya moto Jikoni,shauri yako,Mwenzako Mugabe alikuwa anapwaga bila ya Moto Jikoni,lakini toka ametoka amekuwa Mtoto mtiifu kwa Mama na hapwagi tena kama mwanzo, kawaa wa baridii!!Huna adabu kabisa wewe dada