Naomba nifahamishwe hili la KESI ya MBOWE kufutwa, au DPP kutokuwa interest na KESI, Swali langu ni Je Vielelezo navidhibiti vyote vitarudishwa Kwa wenyewe? Kama vitarudishwa. Je AKINA Bwire watarudishiwa Madawa Yao ya kulevia na Bastola Yao?
Hii kesi hajaisha, bali iko muted tu, Kama Mbowe ataendelea na Ukorofi wake, DPP huyo huyo atairudisha kesi hiyo hiyo Mahakamani! Nenda kasome kitabu kimoja kinaitwa "The Power of DPP in Court'!! Majibu na Maswali yako yote yako humo!!