je kesi ikufutwa mahakamani(mahakama ya mwanzo)kimakosa na hukuridhika na maamuzi hayo je taratibu zipi kupata haki yako

je kesi ikufutwa mahakamani(mahakama ya mwanzo)kimakosa na hukuridhika na maamuzi hayo je taratibu zipi kupata haki yako

habari wanaJF kesi mahakamani hususan mahakama za mwanzo ikifutwa na kama kumetokea hitlafu katika ufutaji kesi hio ni taratibu gani za kuchukua kufufua kesi hio na kama hujarizika na ufutaji wa kesi ni zipi taratibu za kufanya.kupata haki zako kuendelea na kesi
samahani naomba kujua hivi mahakama siziko likizo Boss?au inakuwaje kwako?
 
Back
Top Bottom