habari wanaJF kesi mahakamani hususan mahakama za mwanzo ikifutwa na kama kumetokea hitlafu katika ufutaji kesi hio ni taratibu gani za kuchukua kufufua kesi hio na kama hujarizika na ufutaji wa kesi ni zipi taratibu za kufanya.kupata haki zako kuendelea na kesi