zamuhalelu
Senior Member
- Oct 5, 2017
- 140
- 138
Kaifungulie fixed account ama bonus account.
kibubu kinaweza kububuliwa na watu wako wa karibu.
Mkuu Mimi sikushauri kufungua fixed deposit accoun(Account ya muda maalum) kwanza interest yake ni ndogo. Kawekeze soko LA Hisa DSE wakafanye biashara afu faida watayopata mnagawana. hata ukiwa na elfu 80 wanawekeza.tiririka maujanja mkuu kuhusu fixed account mana mie sio mzoefu wa mabenk
nikienda basi ni kutoa pesa tu...
(home naishi alone chumba nipo peke angu mkuu)
kumbuka kuna muda thamani ya hisa hushuka pia.Mkuu Mimi sikushauri kufungua fixed deposit accoun(Account ya muda maalum) kwanza interest yake ni ndogo. Kawekeze soko LA Hisa DSE wakafanye biashara afu faida watayopata mnagawana. hata ukiwa na elfu 80 wanawekeza.
ahaha yani nisikivunje mapema kwa maana niwe mvumilivu kuweka humo?Bora tu usije ukakivunja mapema
Fuata ushauri wa boss apo juu fixed au nonus acount
mkuu kwa wanaoishi nyumba za serikali hiyo kitu ni ngumu.....Kibubu kikutwe na bomoa bomoa,
Mkuu hisa tena basi aende kwa fundi achonge kibubu kubwa atunze ambako hakuna hisakumbuka kuna muda thamani ya hisa hushuka pia.
kwani chuma huwa kinaunguaga?Kibubu moto ukiwaka utalia
mkuu maneno yako yapo kikubwa zaidi ebu nieleze kwa uwazi kabisa mkuu ili tupate mafaida kem kemMkuu hisa tena basi aende kwa fundi achonge kibubu kubwa atunze ambako hakuna hisa
Sikiliza ushauri wa huyu binti.Malengo account NBC, kibubu cha nyumbani utakivunja
Nakumbuka zamaaani sana kulikuwa na kawimbo kamoja hivi kanaimbwa '...moto,mwizi,maji na majanga mbalimbali...' hahahahahahahahaha!tiririka maujanja mkuu kuhusu fixed account mana mie sio mzoefu wa mabenk
nikienda basi ni kutoa pesa tu...
(home naishi alone chumba nipo peke angu mkuu)