zamuhalelu
Senior Member
- Oct 5, 2017
- 140
- 138
amani ya mwenyezimungu iwe nanyi wadau
naombeni ushauri baba kaka dada na rika zangu ambao naamini mnayajua maisha kuliko mimi,... kwa mshahara ninao pokea kwa mwezi nauwezo kwa suisave laki mbili ikawa haina matumizi ya lazima..
wadai ipi njia bora kati ya kibubu au benki??
lengo idundulizwe japo mwaka kifanyike cha maana..
karibuni kwa michango yenu wakuu