Je kibubu kitanisaidia?

Je kibubu kitanisaidia?

zamuhalelu

Senior Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
140
Reaction score
138
amani ya mwenyezimungu iwe nanyi wadau

naombeni ushauri baba kaka dada na rika zangu ambao naamini mnayajua maisha kuliko mimi,... kwa mshahara ninao pokea kwa mwezi nauwezo kwa suisave laki mbili ikawa haina matumizi ya lazima..

wadai ipi njia bora kati ya kibubu au benki??

lengo idundulizwe japo mwaka kifanyike cha maana..

karibuni kwa michango yenu wakuu
 
tiririka maujanja mkuu kuhusu fixed account mana mie sio mzoefu wa mabenk

nikienda basi ni kutoa pesa tu...

(home naishi alone chumba nipo peke angu mkuu)
 
Bora tu usije ukakivunja mapema
Fuata ushauri wa boss apo juu fixed au nonus acount
 
Fixed acount ni bora zaidi maana nisalama na uhakika wa hela zako.
 
Kaifungulie fixed account ama bonus account.
kibubu kinaweza kububuliwa na watu wako wa karibu.

tiririka maujanja mkuu kuhusu fixed account mana mie sio mzoefu wa mabenk

nikienda basi ni kutoa pesa tu...

(home naishi alone chumba nipo peke angu mkuu)
Mkuu Mimi sikushauri kufungua fixed deposit accoun(Account ya muda maalum) kwanza interest yake ni ndogo. Kawekeze soko LA Hisa DSE wakafanye biashara afu faida watayopata mnagawana. hata ukiwa na elfu 80 wanawekeza.
 
kumbuka kuna muda thamani ya hisa hushuka pia.
 
Weka heshima Bar, acha ulofa hauna mkataba na maisha hifadhi ya hela ya nini, don't quote me.
 
Kibubu moto ukiwaka utalia
kwani chuma huwa kinaunguaga?

ok ila hzo ni dharula za kufikirika mana hata upande wa benki pia kuna dharula zake ambazo ukifikiria huwezi weka pesa huko ila kwa kuwa huwezi kusitisha kawaida kwa sababu ya dharula hata siku moja...

yani useme chooni siendikwa sababu naweza tumbukia shimoni...[emoji1]

hyo kitu ya kuweka vikwazo kama hvyo haiko poa..

miss chagga embu leta maujuzi yako na maoni ili tupeleke taifa...

nipe mchango wako muhimuuu
 
ni wazo zuri nakushauri fungua account bank ndio mahala salama
 
tiririka maujanja mkuu kuhusu fixed account mana mie sio mzoefu wa mabenk

nikienda basi ni kutoa pesa tu...

(home naishi alone chumba nipo peke angu mkuu)
Nakumbuka zamaaani sana kulikuwa na kawimbo kamoja hivi kanaimbwa '...moto,mwizi,maji na majanga mbalimbali...' hahahahahahahahaha!
 
ndo ninacho katavkuajiliwa asa mwez wote ndugu yangu uweke laki 2 utafika kweli haya maisha???, kuna mambo ya kufanyia hiyo sent yako ndogo na ukajipatia mamilion mpaka unashangaa!!! n pm, nkwambie nn cha kufanya, kama una roho mchafu atakae kwambia nataka nkutapeli kaa kimyaa
 
Back
Top Bottom