Je kifo cha 'Jasusi mbobezi' kimeondoka na kichwa leo?

Ila hizi sarakasi,mara kina Kigogo Wadai Cheo lilikuwa kinagombaniwa mara sijui nini ila zote hizi ni ama scarm au conspiracy theories au ukweli au vyovyovyote vile maana wanaojua ukweli hawawezi kuusema so zinaishia kuwa stori za kijiweni na Mbeba mikasi kaomba apumzike 😆😆
 
Huyo mshika mikasi utu uzima umeingia na afya yake haiko vizuri kabla hata jiwe hajaondoka. Si ajabu yeye kuomba kupumzika au si ajabu kuonekana hawezi kutekeleza majukumu yake ipasavyo.
Bora wewe umeongea ukweli unaokaribia japo kibongo bongo Huwa hawakubali kuachia kirahisi,si unaona free nation huko Kwa jirani? 😆😆
 
Mnapenda sana kusikiliza story za vijiweni kwa sababu mmeaminishwa kila kitu kina mkono wa TISS!
 
Hiyo nafasi inaonesha ilikuwa inavombaniwa sana Kwa siku za karibuni so wasuka mipango wakaona wanaemtaka wampe nafasi mapema Ili kuhalalisha kumlinda maana pengine washindani wake wangeweza kumpoteza.

Swala la kutokea la kutokea baada ya SSH sio ishu sana Kwa sababu VP ataendelea kuwa Rais lakini Kwa kuwa uchaguzi utakuwa Bado na mda ni michache lazima mchakato utaanza upya na anaweza asiwe yeye Kwa sababu kaomba kustaafu so hawezi kuwa presidaa Wala kupitishwa.
 
Akamtuma roporopo Nepi aseme "MUNGU AMEAMUA UGOMVI BAHARI IMETULIA"
 
Kama lengo la chama ilikuwa kuwapitisha wagombea wao wote, nadhani wako sahihi kumtangaza mgombea mwenza kuliko kuweka kiporo maana ingeleta sintofahamu zaidi kwamba Mgombea Urais wa Bara na Visiwani wanajukikana ,wagombea wenzako wanajukikana ila wa Bara haijulikani huoni ingekuwa shida? So Kwa maoni yangi wako sawa kabisa.
 
Akamtuma roporopo Nepi aseme "MUNGU AMEAMUA UGOMVI BAHARI IMETULIA"
Baada ya kutumika alipaswa kuwa kimya na smart sana!

Hakujua project ya Cyprian Musiba ilikua ya wenye nchi yao!akakurupuka Hadi kina pengo wakatumwa kumwambia aache ishu ya Musiba!akakaza fuvu!

Hakujifunza Kwa Ndugai!!?

Ukiona mstaafu au Askofu Mkubwa anakushauri jambo ujue Kuna ishu fulani ambayo wewe huijui itakutafuna!hasta chuma alishauriwa hakusikia!!
 
Kiukweli Mpango alikuwa hafananii kabisa kabisa kwenye kundi hili.
...ni heshima kubwa kukaa pembeni kwa ajili ya amani ya moyo.
 
Shule ya uongozi inahitajika, kiongozi ni kuwa na kaba hadi wakati sahihi ukifika ndo maana siri nyingi zinavuja maana yake watu wameangukia nafasi bila kuwa na heshima ya miiko katika kazi hizo.
 
Mpango ni kijana wa church sana mseminary anajua kinachoendq kutokea!hajaachia ngazi kizembe!!!

Kipindi hiki tuna chokiendea ni kigumu sana kwa wenye madaraka!!!
Penis-we angalau ajifunze kwa bwana migebuka ni bora kuachia ngazi legacy ikabaki daima, vile vile kama alichofanya mdogo wake "heavy" kuachia uenyekiti wa zambarau party waendeleze wengine gurudumu
 
Penis-we angalau ajifunze kwa bwana migebuka ni bora kuachia ngazi legacy ikabaki daima, vile vile kama alichofanya mdogo wake "heavy" kuachia uenyekiti wa zambarau party waendeleze wengine gurudumu
Ishu ya zambarau unaona ipo serious kabisa..?, naona ameweka kivuli tuu pale control bado anayo
 
Penis-we angalau ajifunze kwa bwana migebuka ni bora kuachia ngazi legacy ikabaki daima, vile vile kama alichofanya mdogo wake "heavy" kuachia uenyekiti wa zambarau party waendeleze wengine gurudumu
Dr. Mpango ni mtu makini sana hajakurupuka kabisae!anaijua system huyo mzee anajua mchaka mchaka unaofuata baada ya hapo jana kipyenga kupulizwa!!

Usije shangaa akarudi mzigoni kama namba Moja kabla ya uchaguzi!!inawezekana pia!

CCM ni kichaka!coz unapanga hivi na wengine wanakupangia kivingine no mwendo wa code tu!!
 
Kuwa Namba moja ni ngumu father kashajichokea wa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…