Je kifo cha 'Jasusi mbobezi' kimeondoka na kichwa leo?

Je kifo cha 'Jasusi mbobezi' kimeondoka na kichwa leo?

Kuna msoma nyota fulani kasema kwenye ulimwengu wa roho Yanga inaonekana kung'aa 2025 hasa kuanzia march, na timu au watu wenye kuanza na herufi S, J, A, O, na F. mwaka mgumu kwao
Asipokaa vizuri simba anabeba ,,,uzuri watu wa kamati za ufundi huko ndo haohao pia kwa upande mwengine......hizi timu kuna wahuni wanasafiria nyota pia......hii ndo 2025
 
Sheikh Yahya Hussein yuko wapi?
Nenda Facebook au YouTube tafuta Nabii wa ishara Tanzania utabiri wake wa kufungua mwaka.
1. Kasema huenda rais hatongombea uchaguzi mkuu akapisha mtu,
2. Ni mwaka mgumu kwa January Makamba kupata nafasi fulani labda atumie mbinu za kijeshi na ataomboleza mwaka huu yeye pamoja na Josephat Gwajima.

3. Tusiyempenda Nape ni mwaka wa kuinuliwa 2025.
4. Ni mwaka mgumu kwa waandishi wa habari na vyombo vya habari baadhi yao kuuliwa kwa njia mbalimbali nk nk
Mengine nimesahau.
 
Wewe ni mtu mwenye akili sana.
Natamani JF ingejaa watu wenye hizi fikra.

Swali kuu ni hilo; nini mantiki ya kuelezwa kujiuzuru kwake sasa na kuambiwa nani ni mrithi wake wa baadaye ikiwa kazi itaendelea mpaka Oktoba?
Tunatengeneza mitego ya hatari mnoo kama nchi.
Hicho ndicho kilichomtokea Savimbi wa Angola 🇦🇴
 
Nenda Facebook au YouTube tafuta Nabii wa ishara Tanzania utabiri wake wa kufungua mwaka.
1. Kasema huenda rais hatongombea uchaguzi mkuu akapisha mtu,
2. Ni mwaka mgumu kwa January Makamba kupata nafasi fulani labda atumie mbinu za kijeshi na ataomboleza mwaka huu yeye pamoja na Josephat Gwajima.

3. Tusiyempenda Nape ni mwaka wa kuinuliwa 2025.
4. Ni mwaka mgumu kwa waandishi wa habari na vyombo vya habari baadhi yao kuuliwa kwa njia mbalimbali nk nk
Mengine nimesahau.
Mpiga ramli tu huyo mambo hupangwa
 
Wewe umezaliwa mwaka gan kuwa babu? Physical fitness ya watu weng wenye hamsini hadi 60 inaharibika kutokana na maradhi makubwa, pia kufanya shughuli ngumu ngumu enz za ujana mkuu

2.hivi una habari kwamba Dr. Chimbi kazaliwa 1972 lakini anaonekana mzee kama Kikwete, njoo kwa olesendeka kazaliwa 1964 lakini amekata kama ana 70 years
Sasa mbona wasira na 80 yake mmempa umakamu
 
Jasusi alikuwa mtu fresh sana. Waliomrestisha walikosea sana kwa kweli.
Mi alinikera aliposhiriki mauaji ya former ceo, he was idiot. Uongozi ni kuvumilia, tena kwa CCM ambayo inamifumo kila kona, wanakusubiri tu hahahah wanapita na wewe halafu mambo yanaendelea na wala hutamjua aliyekutanguliza. Mbobezi was idiot sana ana tena nasema mifumo yetu ya utawala ina makoti mengi hakuna mjanja wakitaka anytime. Sishangilii kabisa kifo chake na inauma ila alizidiwa uzima akawa anajiona wengine wana haki ya kufa ila yeye alijiamini kwenye ubobezi
 
Back
Top Bottom