Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
- #41
Mla migebuka hauziki, kwenye uchaguziMzee wa Msoga hamtaki kabisa mla migebuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mla migebuka hauziki, kwenye uchaguziMzee wa Msoga hamtaki kabisa mla migebuka
Hehe Pengo si alimwambia atulize boli apotezee yaliyopita ila jamaa akakanyaga accelerator, baada ya lile tukio sidhani hata familia yake iliendeleza ndoto za jamaa za kumtuliza bwana funeralEheee panazidi kuchangamka
Ikitokea......na hii ni mipango ili hilo lisitokee huoni wanajazwa watu old school kuanzia kwa wahasira.........kete zinapangwa kitaalamu sio kwa sababu ya mihemko au mahaba fulani, wanajua wanaelekea vitani,,,usishangae hao wanaosema anaweza akaondoka wakaondoka wao, watu wamejipangaHivi ikitokea Samia ame rest in peace kesho au keshokutwa, Dr Philip Mpango si ndiye atakuwa Rais..?
Huyu Nchimbi atakuwa nani..?
Mbona CCM na Samia wanafanya maamuzi ambayo ni very premature..?
Kama anaendelea kuwa VP mpaka baada ya uchaguzi, kulikuwa na sababu kutangaza barua yake ya kujiuzuru wakati wameshajadiliana kuwa na yeye kukubali kuendelea..?
MEMBEJasusi aliyepigwa faulo ni nani
USSR
Simba bingwa
Sasa kama wewe undercover unachanganyikiwa sisi raia wakawaida itakuwaje?Mnanichanganya
Wala s bwana maembe "hapo anazungumziwa gongo"Itakuwa bwana maembe
Kitambo sana MkuuSimba bingwa
Maembe kutumika na tec kumi na nane rostam akavunja miguuBabu mtoa mada hapo juu kama yuko sahihi vile,maana kuna Mwamba alinidodosa kifo cha Afsa Kipenyo Mbobezi
Nina wasiwasi Team ya Bt huenda inakula vichwa vya Wagalatia.Basi bwana, baada ya kifo cha Jasusi mbobezi zilipenya za chini ya kapeti kuwa Jasusi karestishwa.
Watu wakachimba zaidi kutaka kujua kulikoni Jasusi kujasusiwa?.
Wanyetishaji wa kijiweni wakadai kuwa Jasusi kapigwa faulo moja matata kama Salum Kabunda au Roy Kean ndiyo maana kavuta
Mnyetishaji akadai hana ushahidi kama "aliyeomba kupumzika" alihusika lakini homeboy wake mmoja aliyekuwa mnene kwenye kilindi cha wavaa suti nyeusi alicheza faulo. Lengo ni kusaidia homeboy wake aendelee kuwa mshika mikasi wa kuzindua shughuli. Maana inasemekana Jasusi mbobezi angeweza kuchukua nafasi yake Twente Twente Five
Sasa Malkia wa nyuki alipopewa inshu akafumua fumua kilindi cha wavaa suti na yule aliyedhaniwa kuhusika akawekwa pembeni. (Mnakumbuka zile panguapangua kwenye ofisi za kilindi cha wavaa suti kwenye nchi ya wadanganyika hadi mnene wao kutoka mji wa wala migebuka kuweka pembeni au vipi)?.
Sasa leo mla migebuka kawekwa pembeni ili in the future asiwe mbeba mikasi ya kuzindua miradi tena. Kiufupi anaenda kula pensheni yake. Hii si kawaida maana kakaa pele kwenye kula haluwa na kiti cha kunesanesa kwa miaka minne tu.
Hii ndo kijiweni watu wananong'ona kuwa Inshu ya Jasusi mbobezi kudanja imemuweka pembeni?
😆Sasa kama wewe undercover unachanganyikiwa sisi raia wakawaida itakuwaje?
Kuna counter attack......kuna watu tu waliona upenyo wakashtukiza wakapiga tukio na kuachia watu msalaHivi jasusi angeweza kuchezewa rafu kirahisi namna hiyo wakati refa inasemekana ni Mr. Tabasam ambaye ni ndugu yake?
Mzee wa Msoga hamtaki kabisa mla migebuka
Basi labda kama tunavyoambiwa mr tabasam ana run show behind the scenes iwe si kweli maana isingekuwa rahisi hivyo.Kuna counter attack......kuna watu tu waliona upenyo wakashtukiza wakapiga tukio na kuachia watu msala
Wewe ni mtu mwenye akili sana.Hivi ikitokea Samia ame rest in peace kesho au keshokutwa, Dr Philip Mpango si ndiye atakuwa Rais..?
Huyu Nchimbi atakuwa nani..?
Mbona CCM na Samia wanafanya maamuzi ambayo ni very premature..?
Kama anaendelea kuwa VP mpaka baada ya uchaguzi, kulikuwa na sababu kutangaza barua yake ya kujiuzuru wakati wameshajadiliana kuwa na yeye kukubali kuendelea..?
Yaani unataka kuniambia kuwa Wassira awe fit na miaka yake 80 ila mla migebuka achoke wakati hana hata miaka 70?
[/QUOTE