Je kifo cha 'Jasusi mbobezi' kimeondoka na kichwa leo?

Je kifo cha 'Jasusi mbobezi' kimeondoka na kichwa leo?

Huyo mshika mikasi utu uzima umeingia na afya yake haiko vizuri kabla hata jiwe hajaondoka. Si ajabu yeye kuomba kupumzika au si ajabu kuonekana hawezi kutekeleza majukumu yake ipasavyo.

Yaani unataka kuniambia kuwa Wassira awe fit na miaka yake 80 ila mla migebuka achoke wakati hana hata miaka 70?
 
Basi bwana, baada ya kifo cha Jasusi mbobezi zilipenya za chini ya kapeti kuwa Jasusi karestishwa.

Watu wakachimba zaidi kutaka kujua kulikoni Jasusi kujasusiwa?.

Wanyetishaji wa kijiweni wakadai kuwa Jasusi kapigwa faulo moja matata kama Salum Kabunda au Roy Kean ndiyo maana kavuta

Mnyetishaji akadai hana ushahidi kama "aliyeomba kupumzika" alihusika lakini homeboy wake mmoja aliyekuwa mnene kwenye kilindi cha wavaa suti nyeusi alicheza faulo. Lengo ni kusaidia homeboy wake aendelee kuwa mshika mikasi wa kuzindua shughuli. Maana inasemekana Jasusi mbobezi angeweza kuchukua nafasi yake Twente Twente Five

Sasa Malkia wa nyuki alipopewa inshu akafumua fumua kilindi cha wavaa suti na yule aliyedhaniwa kuhusika akawekwa pembeni. (Mnakumbuka zile panguapangua kwenye ofisi za kilindi cha wavaa suti kwenye nchi ya wadanganyika hadi mnene wao kutoka mji wa wala migebuka kuweka pembeni au vipi)?.

Sasa leo mla migebuka kawekwa pembeni ili in the future asiwe mbeba mikasi ya kuzindua miradi tena. Kiufupi anaenda kula pensheni yake. Hii si kawaida maana kakaa pele kwenye kula haluwa na kiti cha kunesanesa kwa miaka minne tu.

Hii ndo kijiweni watu wananong'ona kuwa Inshu ya Jasusi mbobezi kudanja imemuweka pembeni?
Jasusi jasusi...! Ni membe bwana.
 
Hivi ikitokea Samia ame rest in peace kesho au keshokutwa, Dr Philip Mpango si ndiye atakuwa Rais..?

Huyu Nchimbi atakuwa nani..?

Mbona CCM na Samia wanafanya maamuzi ambayo ni very premature..?

Kama anaendelea kuwa VP mpaka baada ya uchaguzi, kulikuwa na sababu gani ya kimantiki kutangaza barua yake ya kujiuzuru wakati wameshajadiliana naye akakukubali kuendelea kuhitimisha awamu hii..?
 
Back
Top Bottom