Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
Huu ni mwaka wa Yanga upande wa Tz alisikika Mtu fulani akisema
Simba bingwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba bingwa
Kwa sasa hamna mambo ya wagalatia wala wa upande mwengine,,,kuna kete zimepangwa upya na kuna team inaenda kupata shida sidhani kambi ya Lowasa wataacha mambo yapite hivihivi tuNina wasiwasi Team ya Bt huenda inakula vichwa vya Wagalatia.
Asipokaa vizuri simba anabeba ,,,uzuri watu wa kamati za ufundi huko ndo haohao pia kwa upande mwengine......hizi timu kuna wahuni wanasafiria nyota pia......hii ndo 2025Huu ni mwaka wa Yanga upande wa Tz alisikika Mtu fulani akisema
Wewe umezaliwa mwaka gan kuwa babu? Physical fitness ya watu weng wenye hamsini hadi 60 inaharibika kutokana na maradhi makubwa, pia kufanya shughuli ngumu ngumu enz za ujana mkuu
2.hivi una habari kwamba Dr. Chimbi kazaliwa 1972 lakini anaonekana mzee kama Kikwete, njoo kwa olesendeka kazaliwa 1964 lakini amekata kama ana 70 years
Wataalam wa Code wanasema jasusi alijisahau kidogo kombora likatua on target, akashindwa kutoboa.Hivi jasusi angeweza kuchezewa rafu kirahisi namna hiyo wakati refa inasemekana ni Mr. Tabasam ambaye ni ndugu yake?
Hata angekuwa na miaka 30 kama afya hairuhusu anapumzika. Mshika mikasi yule mpaka anateuliwa kupanga sio huyu wa sasa, tangu aumwe akapigishwa simu za kulazimisha kusema yuko fit wakati amelazwa hajawahi rudia afya yake ya awali. Kwani umesahau alipopotelea kwa kina Samsung kutibiwa mpaka watu wakahoji?Yaani unataka kuniambia kuwa Wassira awe fit na miaka yake 80 ila mla migebuka achoke wakati hana hata miaka 70?
Maembecode nimeipata ila jasusi mmeniacha
Mmmhh basi ni hatari sana.Wataalam wa Code wanasema jasusi alijisahau kidogo kombora likatua on target, akashindwa kutoboa.
Sasa kama code hii huwezi zile za akina tumainiEl na Yoga utaambulia kitu.Aisee!!! ngoja wafungua code waje
Hivi ikitokea Samia ame rest in peace kesho au keshokutwa, Dr Philip Mpango si ndiye atakuwa Rais..?
Huyu Nchimbi atakuwa nani..?
Mbona CCM na Samia wanafanya maamuzi ambayo ni very premature..?
Kama anaendelea kuwa VP mpaka baada ya uchaguzi, kulikuwa na sababu kutangaza barua yake ya kujiuzuru wakati wameshajadiliana kuwa na yeye kukubali kuendelea..?
Hivi ikitokea hivo si ndo atasimama mwenyewe awamu inayokuja?Wewe ni mtu mwenye akili sana.
Natamani JF ingejaa watu wenye hizi fikra.
Swali kuu ni hilo; nini mantiki ya kuelezwa kujiuzuru kwake sasa na kuambiwa nani ni mrithi wake wa baadaye ikiwa kazi itaendelea mpaka Oktoba?
Tunatengeneza mitego ya hatari mnoo kama nchi.
Kwani hiyo kambi bado ipo baada ya kufariki kiongozi wake?Kwa sasa hamna mambo ya wagalatia wala wa upande mwengine,,,kuna kete zimepangwa upya na kuna team inaenda kupata shida sidhani kambi ya Lowasa wataacha mambo yapite hivihivi tu
DuuhNchi mbili anaweza akawa “Nyerere” kabla 2030
Nimekaa pale
Hapana mkuu,Vipenyo kila kitu kwao fulsa ilivyo jitokeza tu kwa Misiba hawakufanya hajizi nawao wakatembea humohumoYule alipigwa na misiba
USSR
Who is this guy- Afisa kipenyo mbobevu?Babu mtoa mada hapo juu kama yuko sahihi vile,maana kuna Mwamba alinidodosa kifo cha Afsa Kipenyo Mbobezi
Ila Wassira mwenye miaka 79 anafaa kuendelea na kazi au vipi?