Je kifo cha Nusura Abdalah wa UDOM chaweza kufanana na kifo Marylin Monroe na uhusiano wake na Rais wa USA JF Kennedy?

Yani naibu waziri ndo umfananishe na JFK ?
Ila huyu jamaa na huu mtandao wake wanaoficha huu ujinga watalipwa tu
 
Haswaaa!!
Basi atakuwa mchaga wa Masama Mudio. Nilikuwaga na pisi kali hapo muislamu hakubali penzi hadi nilete kitimoto guest room na tunakula alafu tukimaliza tunakulana na vitu vingine. Bahati mbaya tulipotezana mawasiliano.
 
Hii skendo itazimwa na matukio mengine ya kawaida.
 
 
Duh

Nusura Hassan siyo mtu maarufu ni mnyiramba wa kawaida tu na Naibu waziri ni cheo cha kawaida sana
Ila ulitegemea majaliwa kasimu M angekuwa waziri mkuu ???! Maana naye alikuwa naibu waziri Tena hapo hapo tamisemi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…