Hennes kolon
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 673
- 1,294
ni mchaga huyu mkuu.Na wanyiramba hawajuagi kukataa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni mchaga huyu mkuu.Na wanyiramba hawajuagi kukataa
Ova
ni manka mwenye imani ya Muslim!!Kuna wengine wanasema ni mtu wa Singida
Unamfahamu vizuri?ni manka mwenye imani ya Muslim!!
Haswaaa!!Unamfahamu vizuri?
Basi atakuwa mchaga wa Masama Mudio. Nilikuwaga na pisi kali hapo muislamu hakubali penzi hadi nilete kitimoto guest room na tunakula alafu tukimaliza tunakulana na vitu vingine. Bahati mbaya tulipotezana mawasiliano.Haswaaa!!
Kama walivyo Warangi Pipa na Mfuniko 🤣👋Na wanyiramba hawajuagi kukataa
Ova
Kuna binti wa kirangi ananimendea, japo kaolewa. Ni mwaka Sasa ananitaka. Tukikutana namuona kabisa analowa na kupumua sauti ya ajabu. Sijui nifanyeje?Kama walivyo Warangi Pipa na Mfuniko 🤣👋
aaaahhhhhaahhHii skendo itazimwa na matukio mengine ya kawaida.
Hahaha una amini mm ni mrangiKama walivyo Warangi Pipa na Mfuniko [emoji1787][emoji112]
Ngoja mondi apige tukio na zuchu [emoji1]Hii skendo itazimwa na matukio mengine ya kawaida.
🤣🤣Huwezi kuwachafua JFK na RFK mimi nikiwa hai nikakuamini
Tarehe 04 August 1962 kilitokea kifo tata cha muigizaji Mrembo kule Marekani, Marylin Monroe.
Kifo hiki kilizua utata mno ila Majasusi wa FBI walijitahidi hadi Marehemu akazikwa na ikawa mwisho wa tetesi. Hata hivyo tetesi hazikukoma.
Iko hivi, Rais Kennedy na mdogo wake aliyekuwa mwanasheria Mkuu wa serikali ya Marekani, walikuwa na uhusiano na Mrembo huyu bila kujuana. Mrembo alikorofishana baadae na ndugu wote wawili wenye nguvu serikalini.
Maadaui wa kisiasa wa serikali walipata kuhitilafiana huko na kupanga kumtumia Marylin Monroe kumuondoa Rais JF Kennedy ofisini kwa tuhuma za ufuska. Kule USA ni tuhuma mbaya Sana.
Kennedy na Mdogowe wakaamua kufanya yao. Marylin Monroe kakutwa kafa chumbani mwake akiwa Uchi wa mnyama na chupa kubwa ya pombe ipo chumbani na pombe nyingine kwenye glasi. Pia madawa ya binadamu na chupa ya maji ilikutwa chumbani humo. Walimtumia pia daktari wa mchongo na kufanya postmortem na kutoa habari kuwa alizidiwa na pombe huku akitumia pia dozi za dawa nyingi kupita kiasi. Ikaisha hivyo
Je sakata la kifo cha Mwanafunzi wa UDOM Nusura Hassan Abdalah chaweza kufanana na hiki? Nacho uchunguzi utafanywa na mazingira ya kifo kuaminiwa?
Soma: Marylin Monroe kwenye Google.
Ila ulitegemea majaliwa kasimu M angekuwa waziri mkuu ???! Maana naye alikuwa naibu waziri Tena hapo hapo tamisemi.Duh
Nusura Hassan siyo mtu maarufu ni mnyiramba wa kawaida tu na Naibu waziri ni cheo cha kawaida sana
Mwambie huyoIla ulitegemea majaliwa kasimu M angekuwa waziri mkuu ???! Maana naye alikuwa naibu waziri Tena hapo hapo tamisemi.