Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Kwa tamko la Rais Dornad Trump juzi Iran walitakiwa kupigwa kipigo Cha mbwa koko
Na mashambulizi yake alitangaza kuwa yataelekezwa kwenye miundo mbinu ya kuhifadhi mafuta ,vituo vya umeme nk
Na serikali ya Iran katika kukabiliana na tishio Hilo iliwatangazia wananchi wake na wote waliungana kwenda kuzunguka maeneo lengwa na yawezekana Hilo ndilo lililomfanya Trump kupoa kwa muda
Swali linakuja je kwa mfano kwasasa Tanzania tukawa na ugomvi na adui akatangaza kuwa atailipua bandari ya Dar au daraja la busisi au zile interchange za kijazi wananchi watakuwa tayari kwenda kuzingira hiyo miundo mbinu isiharibiwe?
Au wataanza kupiga soga za kejeli mtandaoni?