Kaka wairan kihistoria na kisaikolojia hawana tabia zinazofanana na Waafrika. Wao kwa miaka maelfu wamejibainisha kama watu wa kipekee kwenye historia, uchumi, na Sayansi.
Waliwahi kuwa moja ya empire kubwa zaidi duniani kwa hiyo Kuwa chini ya dola kuu kama Marekani kwa Wairan ni fedheha kubwa.
Kuifananisha Iran na Tanzania katika nyanya za kisiasa,uzalendo Sayansi na hata Hilo la umoja ikitokea wamevamiwa ni ndoto za Alinacha