Je! Kilevi kinatuweka HURU kusema hisia zetu? Ziwe Chanya au Hasi?

Hii kitu hufanyika kwa siri sana. ...
 

Mkuu I was joking,sikujua hii ipo, Asante kwa ku share...
 
Mie huwa sinywi pombe isipokuw ka wine kidogo.
Basi jana kulikuwa na ka pati. Nikazidisha kipimo bana. Weee ile kwenda toi (kujiangalia kwenye kioo) nilijishangaa jinsi nilivyotoka mimacho, Kabudi cha mtt.
Sitarudia tena kuji overdose ulabu.
 
Sasa macho tu. ...ulimi ulikuwa mzito ama?
Mie huwa sinywi pombe isipokuw ka wine kidogo.
Basi jana kulikuwa na ka pati. Nikazidisha kipimo bana. Weee ile kwenda toi nilijishangaa jinsi nilivyotoka mimacho, Kabudi cha mtt.
Sitarudia tena kuji overdose ulabu.
 
Kop unajua pombe inaathiri glands zinazohusiana na hizo mishe, kwa hiyo ke aliyeko around unaweza kumshushia mistari akajiona malaika.

Kesho yake unaanza kujiuliza nilikuwa mimi kweli!
Huyo Ke ndio akijiaminisha hayo maneno. ...unashangaa kahamisha makazi kwako. ....
 
Utaniambia tu stash house yako mpaka safe house yako ....mwisho wa mwezi....[emoji6][emoji6][emoji6]
Ipo lakini siyo official na haikubaliki mahakamani, isipokuwa wanaitumia kama wamemfahamu member mmoja wanajenga naye urafiki bila yeye kuwafahamu, kwa hiyo kwenye drink ups unakuta ndo muda wa kuchota taarifa.
 
Kop unajua pombe inaathiri glands zinazohusiana na hizo mishe, kwa hiyo ke aliyeko around unaweza kumshushia mistari akajiona malaika.

Kesho yake unaanza kujiuliza nilikuwa mimi kweli!
Hahaha naelewa Kop. Na ubaya wote mkiwa under influence inakuwa shida. Mpaka uje kuwa sober unaanza kujuta maana unaweza kujikuta umeparamia sehemu ambayo kwa akili ya kawaida huwezi hata ku entertain wazo la kusemesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…