Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni mbinu inatumika ku-extract information kutoka kwa wahalifu, mfano makundi ya kigaidi au madawa ya kulevya nk, inatumiwa zaidi na intelligence teams.
Ingawa huwezi kutumia maelezo ya mlevi mahakamani.
Kuna kitabu kinaitwa The Search For Manchurian Candidate, anasema baadhi ya team members wa makundi walikuwa wana expose information za makundi wanapokuwa wamepewa kilevi, tena kama ni bangi au pombe mnakunywa wote na CIA agent, unakuwa kama friends hivi.
Kwahiyo sio kila kitokacho moyoni ni chakuamini hata kama yamesemwa na mtu sober ....
Inasemekana yakutoka moyoni ndio yenye ukweli
Hii kitu hufanyika kwa siri sana. ...
Hii ni mbinu inatumika ku-extract information kutoka kwa wahalifu, mfano makundi ya kigaidi au madawa ya kulevya nk, inatumiwa zaidi na intelligence teams.
Ingawa huwezi kutumia maelezo ya mlevi mahakamani.
Kuna kitabu kinaitwa The Search For Manchurian Candidate, anasema baadhi ya team members wa makundi walikuwa wana expose information za makundi wanapokuwa wamepewa kilevi, tena kama ni bangi au pombe mnakunywa wote na CIA agent, unakuwa kama friends hivi.
Na wanasema ina matokeo mazuri sana kuliko mbinu ya kutesa.
Na wenzetu wana vilevi ambavyo mlengwa anaweza kuchomwa sindano akaanza kutema news, ila wanasema Cannabis ni nzuri sana kwa issue hizo.
Kitu kimoja tu, usimwamini mlevi anapokwambia anakupenda kama hajawahi kukwambia akiwa sober.
Mie huwa sinywi pombe isipokuw ka wine kidogo.
Basi jana kulikuwa na ka pati. Nikazidisha kipimo bana. Weee ile kwenda toi nilijishangaa jinsi nilivyotoka mimacho, Kabudi cha mtt.
Sitarudia tena kuji overdose ulabu.
Ukijua mtu yupo under influence basi kila anachokuambia ni kweli kabisa. Hata kama ni jambo baya anakuambia maana anakuwa huru akiwa katika hiyo hali.Napaswa kuyaamini?
Au kuyachukulia ni kilevi?
Maana kuna watu wanajua kutiririka acha kabisa. ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitu kimoja tu, usimwamini mlevi anapokwambia anakupenda kama hajawahi kukwambia akiwa sober.
Uniletee mwisho wa mwezi. ...nami nifunguke...[emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu I was joking,sikujua hii ipo, Asante kwa ku share...
Ukijua mtu yupo under influence basi kila anachokuambia ni kweli kabisa. Hata kama ni jambo baya anakuambia maana anakuwa huru akiwa katika hiyo hali.
Naamini hivyo.
Huyo Ke ndio akijiaminisha hayo maneno. ...unashangaa kahamisha makazi kwako. ....Kop unajua pombe inaathiri glands zinazohusiana na hizo mishe, kwa hiyo ke aliyeko around unaweza kumshushia mistari akajiona malaika.
Kesho yake unaanza kujiuliza nilikuwa mimi kweli!
Ipo lakini siyo official na haikubaliki mahakamani, isipokuwa wanaitumia kama wamemfahamu member mmoja wanajenga naye urafiki bila yeye kuwafahamu, kwa hiyo kwenye drink ups unakuta ndo muda wa kuchota taarifa.
Hahaha naelewa Kop. Na ubaya wote mkiwa under influence inakuwa shida. Mpaka uje kuwa sober unaanza kujuta maana unaweza kujikuta umeparamia sehemu ambayo kwa akili ya kawaida huwezi hata ku entertain wazo la kusemesha.Kop unajua pombe inaathiri glands zinazohusiana na hizo mishe, kwa hiyo ke aliyeko around unaweza kumshushia mistari akajiona malaika.
Kesho yake unaanza kujiuliza nilikuwa mimi kweli!
Lakini njia ya kurudi home huwezi kuisahau huh?Hahaha naelewa Kop. Na ubaya wote mkiwa under influence inakuwa shida. Mpaka uje kuwa sober unaanza kujuta maana unaweza kujikuta umeparamia sehemu ambayo kwa akili ya kawaida huwezi hata ku entertain wazo la kusemesha.