Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Unataka ku investigate nini kwani?Chalii utanifanya niwe naweka stock kubwa nyumbani. ....kwa ajili ya wageni lakini [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Haiwezekani kusahau. Utaenda wapi sasa?Lakini njia ya kurudi home huwezi kuisahau huh?
Huyo Ke ndio akijiaminisha hayo maneno. ...unashangaa kahamisha makazi kwako. ....
Hahaha naelewa Kop. Na ubaya wote mkiwa under influence inakuwa shida. Mpaka uje kuwa sober unaanza kujuta maana unaweza kujikuta umeparamia sehemu ambayo kwa akili ya kawaida huwezi hata ku entertain wazo la kusemesha.
Utaniambia tu stash house yako mpaka safe house yako ....mwisho wa mwezi....[emoji6][emoji6][emoji6]
Kuna vitu viwili hapo:
- Huyo mtu alikuwa anakupenda kweli ila hakuwa na courage, wa hivyo akishakuambia akiwa amelewa ni kama anakuwa ametua mzigo, na kesho akiwa mzima anaweza kuendelezea alipoishia
- Kuna yule ambaye baada ya pombe kupanda anataka service hapo hapo, asipofanikiwa kesho akiwa mzima hakwambii chochote, kama si yeye. Huyu mkwepe.
Mimi huwa kuna level ikifika najikuta sitaki kuongea kabisa, maana najua nitavujisha taarifa.
Lakini huwa najitahidi sana kupunguza kuongea, unless niko na mtu sina wasiwasi naye kabisa.
Hahaha sijui lakini. Labda inawezekanaKwa jirani. ...maana kama ulimwona yule Ke ukamvamia na maneno matamu. ..basi na njia itakupotea ukidhani ndio kumbe sivyo. ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora unajielewa
Beer inatosha. ...kwa kweli. ..mambo ya 40%-60% nikuumizanaUbaya wa pombe siyo siku zote utaweza kuzimanage, mfano kuna hizi whiskey, ukivusha level fulani mawasiliano yanakata kabisa, hata ulichokiongea kesho ukiulizwa hukumbuki.
Huo ndo muda taarifa zinavuja.
Beer inatosha. ...kwa kweli. ..mambo ya 40%-60% nikuumizana
πππ
Bia gani unaitumia mkuu, na angalau ukinywa ngapi unakuwa poa..sisi wengine ni wine tu,Beer inatosha. ...kwa kweli. ..mambo ya 40%-60% nikuumizana