Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Unataka ku investigate nini kwani?Chalii utanifanya niwe naweka stock kubwa nyumbani. ....kwa ajili ya wageni lakini [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Ila sio wote maana wale makonki huwa hawasumbuliwi na hali hizo. Kwa wale wakugusa once in a while inaweza kuwa shida kidogo.