matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mpaka kati ya Gaza na Israel ndio mpaka unaolindwa kwa nguvu zote kuliko mipaka yote duniani.
Kuna camera na teknolojia za kisasa za ulinzi, kuna patrol za mara kwa mara za wanajeshi wenye vifaa vya kisasa, kuna hadi kambi za jeshi karibu zenye ndege na vifaa vya kisasa kabisa.
Iron Dome huwa ziko active lakini kwa jana ufanisi wake ulikuwa chini ya kiwango hasa Tel aviv hadi kusababisba uaribifu mkubwa.
Hata baada ya kuvamiwa, bado hatujaona wepesi wa kuwaondoa hao Hamas na ilikuwa mchana, Yamepita zaidi ya masaa 4 ndio operation ikaanza, tena kinyonge wanajeshi wakionyesha unprofessionalism, wakitembea makundi badala ya single line, wameuwana wenyewe kwa wenyewe etc.
Je? Ni kweli israel walijisahau au ni mchongo wametengeneza kusudi kutafuta sababu ya kuingia gaza, kama walivyofanya US september 11.
Je, Israel ilibweteka kutegemea US ambayo ilikuwa bize na superpower Ukraine.
Je Mossad imepoteza makali? Au siasa zimeingia hadi jeshini
Au ni mchonga kuacha gap makusudi ili wapate sababu. Ikumbukwe jeshi lao lina doktrine inayosema Sometimes we have to trim the weeds in gaza
karibu