matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #21
Nimemsikia mdada mmoja alikuwa anafanya kazi kikosi cha hiyo border waliovuka Hamas. Anasema wakati wao wanafanya hapo kazi 2014 ilikuwa ni ngumu ngumu kabisa mtu kusogea asijulikane.Mi hichi kitu nimekisema kuna mtu kaniambia nina kariri mi mpaka kesho siamin eti ni la bahat mbaya. Hii ni inside job kwa malengo maalumu na waarabu wamejaa bila kujua. Sasa wamewapa jamaa sababu ya kuichukua gaza mazima. Nimemsikia intelligence officer mmoja anasema sasa ni muda wa kumalizana na Hamas one's and for all