matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
-
- #21
Nimemsikia mdada mmoja alikuwa anafanya kazi kikosi cha hiyo border waliovuka Hamas. Anasema wakati wao wanafanya hapo kazi 2014 ilikuwa ni ngumu ngumu kabisa mtu kusogea asijulikane.Mi hichi kitu nimekisema kuna mtu kaniambia nina kariri mi mpaka kesho siamin eti ni la bahat mbaya. Hii ni inside job kwa malengo maalumu na waarabu wamejaa bila kujua. Sasa wamewapa jamaa sababu ya kuichukua gaza mazima. Nimemsikia intelligence officer mmoja anasema sasa ni muda wa kumalizana na Hamas one's and for all
Endeleeni kuamini huo ujinga wenu,mmelishwa matangopoli mpk mkavimbewa.yaani hamu amini kama usrael inaweza kupigwa.Kwamba ni surprise attack siamini! Inawezekana walifahamu mipango yote wakaruhusu itokee ili wapate sababu ya kuendesha operations kubwa ya kihistoria.
Mi naamini huu mchezo una mengi.Ule uvamizi unafikirisha sana. Mpaka unajiuliza kwamba huenda hata viongozi wengi wa Hamas wamepandikizwa na kufanikishwa kufanya tukio lile ili ipatikane justification ya jambo ambalo litaonekana mwishoni.
Yeah hapo naungana na wewe, maana mwanzo hawakuwa na sababu ya kufanya carpet bombingKwamba ni surprise attack siamini! Inawezekana walifahamu mipango yote wakaruhusu itokee ili wapate sababu ya kuendesha operations kubwa ya kihistoria.
JustificationSio mbaya kuwaza tofauti..ila ukweli Israel haipo tayari kupoteza idadi ya watu wake kiasi hiko kwa sababu waje kufanya uvamizi..Vyombo vya ulinzi na usalama vya Israel hawakuwa na taarifa yeyote kuhusu mashambulizi hayo.
Sio rahisi sanaMi hichi kitu nimekisema kuna mtu kaniambia nina kariri mi mpaka kesho siamin eti ni la bahat mbaya. Hii ni inside job kwa malengo maalumu na waarabu wamejaa bila kujua. Sasa wamewapa jamaa sababu ya kuichukua gaza mazima. Nimemsikia intelligence officer mmoja anasema sasa ni muda wa kumalizana na Hamas one's and for all
Mi naamini si failure bali ni mchezo wameamua iwe hivyo, baada ya vita wanatoa kafala wakuu.Satalite zote za USA ambazo zinachungulia dunia nakuona hadi sisimizi zishindwe kuditect,hatari naona hii itakuwa ni justification ya kuja Gaza kuwakata mabawa hamasi.
Waarabu wapumbavu wakifa hakuna hasara duniani.Wamewatafutia sababu makusudi wawaue wapalestina.
Yawezekana kabisaNa mimi ndio nashangaa. Yaani Waisrael wanavyojipenda hivyo dhidi ya Wapalestina halafu waharibu maisha ya watu wao kisa justification?
Hamna lolote nyie jidanganyeni tu kama anavyo jidanganya US eti super power wakati alikimbia Afghanstan.Kwamba ni surprise attack siamini! Inawezekana walifahamu mipango yote wakaruhusu itokee ili wapate sababu ya kuendesha operations kubwa ya kihistoria.
Ukipata akili utajua Paulo alikupoteza kuwa taifa lenu mpaa liombe msada wa US ndio linabaki na nguvu bila US halina lolote.Waarabu wapumbavu wakifa hakuna hasara duniani.
Waarabu wa Dubai, Saudi, Kuwait hawana hasara
Inawezekana pia mkuu. Je? Hama's akiwa na backup ya kutosha itakuwajeKwamba ni surprise attack siamini! Inawezekana walifahamu mipango yote wakaruhusu itokee ili wapate sababu ya kuendesha operations kubwa ya kihistoria.