Je, kilichotokea ni mpango wa Waisrael? Wataalam wa intellijensia maoni tafadhali

Kwamba ni surprise attack siamini! Inawezekana walifahamu mipango yote wakaruhusu itokee ili wapate sababu ya kuendesha operations kubwa ya kihistoria.
Mkuu yaani wafe watu 1,000 halafu ndio baada ya hapo waendeshe operesheni ya kihistoria. Mbona watu wengi sana hao waliokufa.
 
Hii nchi in watu wapumbavu sana, yaan Israel ikubali rais zaid ya 700 wafe ili kupata sababu ya kuipiga palestina!!!

Ukisikia upumbavu na ushabiki maandazi ndo huu..
 
Kumbuka wayahudi ni freemason na illuminati kama walicheza mchezo wa kulipua majengo ya WTC wanashindwa vipi kucheza.
Jengo la WTC lilikuwa na ofisi za mayahudi lakini siku ya tukio hakuna Myahudi hata mmoja aliyekwenda ofisin siku hio.
 
Kwamba ni surprise attack siamini! Inawezekana walifahamu mipango yote wakaruhusu itokee ili wapate sababu ya kuendesha operations kubwa ya kihistoria.
Acheni kutafuta sababu. Hakuna cha mchongo wala nini. Yaani wabongo mnatabia za kutengeneza Conspiracy theory ili tu ku justify jambo.

Pro Jews kubalini tu kuwa jamaa kaotewa safari hii.

Mbona hamsemi kuwa Yanga kufungwa na Ihefu ni mchongo
 
Kubalini tu kuwa jamaa kaotewa this time . Hivyo acheni hizo nadharia zenu zisizokuwa na maana.

Nachikiaga mawazo mfu kama haya.
 
Sio mbaya kuwaza tofauti..ila ukweli Israel haipo tayari kupoteza idadi ya watu wake kiasi hiko kwa sababu waje kufanya uvamizi..Vyombo vya ulinzi na usalama vya Israel hawakuwa na taarifa yeyote kuhusu mashambulizi hayo.
Huu ndio ukweli.
Hili shambulio limeratibiwa na wapiganaji wa kigeni, Hamas ni mtekelezaji tu
 
Hakuna kilichopangwa kilichotokea ni failure of imagination. Hivi karibuni nguvu kubwa iliwekezwa West Bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…